Pre GE2025 Butiku: Acheni kumchangia Rais Samia fomu ya kugombea Uras, kuendelea kufanya hivyo ni kuunga mkono rushwa

Pre GE2025 Butiku: Acheni kumchangia Rais Samia fomu ya kugombea Uras, kuendelea kufanya hivyo ni kuunga mkono rushwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Foundation, Joseph Butiku amewaonya wanasiasa na wanachama wa CCM kuacha mara moja kampeni za kumchangia Rais Dkt. Samia Suluhu fomu ya kuwania nafasi hiyo tena kwa mwaka 2025-2030, akisema kuendelea kufanya hivyo ni kuunga mkono rushwa.
Kabisa kama amekuwa Sakamo wa raisi kwa Mika Sita na raisi kwa miaka mtano na bado Hana uwezo wa kujilipia hela za kuchukuwa form ya kugombea urasi basi Hafai hata kuwa nyumba kumi. Pili for ni bei gani mpaka achangiwe na nchi Nzima? Ccm sio tu ni janga la taifa Bali pia imejaa wagojwa wa akili.
 
Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Foundation, Joseph Butiku amewaonya wanasiasa na wanachama wa CCM kuacha mara moja kampeni za kumchangia Rais Dkt. Samia Suluhu fomu ya kuwania nafasi hiyo tena kwa mwaka
Live nasimama na mzee Batiku kuzuia ngumi ya bashite,mzee kajiweka kwenye risk atmosphere kwa masilahi mapana ya taifa
 
Hana mchango wowote, mchango pekee alio nao ni kuua vyama vya ushirika. Huyu Butiku enzi ya Nyanza Cooperative Union ina nguvu, alienda Mwanza Hotel, akawa anapata kinywaji, akamuona binti mkaali balaa, akamtongoza, binti akagoma, akasema Butiku atampa nini wakati yeye(binti) anatoka na Afisa wa Nyanza. Kwanza akauliza Butiku ndio nani nchi hii.

Butiku mbio kwa Nyerere, akaenda kumjaza ujinga kwamba kuna watu/taasisi zina nguvu kuliko Rais, na wanachi wanaziheshimu kuliko Rais. Nyerere kusikia hivyo, na alivyokuwa na hofu ya madaraka, kavunja vyama vyote vy ushirika, akaviweka chini ya serikali.

Yaliyobaki ni historia, ambayo huwezi kuacha kuioanisha na kilio cha wakulima na kilimo nchi hii.
Hizo stori za kwenye kahawa kakusimulia baba Yako au mkweo! Bila shaka una wazazi wapuuzi!
 
Hiyo taasisi ya Mwalimu Nyerere ameiua, imekuwa kama kikkao cha ukoo wa wazanaki tu. Yaani inazidiwa na vitaasisi vilivyoanzishwa na watoto wadogo wa juzi.

Amekuwa kiongozi wa taasisi asiye na kikomo cha muda wa uongozi, wafadhili wameikimbia taasisi kwa sababu ya ufisadi mkubwa.
Achana na yeye jadili hoja yake kuhusu rushwa ukweli una tabia ya kukera
 
Bila shaka hujui hii nchi ilikotoka ndio maana hujui inakotakiwa iende .
Chawa wakikaa kwenye kichwa huwa wanamfanya mtu aonekane kama mwendawazimu.

2025 ndio mtapanga kuwa nchi ipigwe mnada au vipi
Huyu mzee ni mjinga, halafu huwa anajiona ana akili sana. Ukimuuliza alishafanyoa nini nchi hii, hakuna
 
yah right, Rais wa CCM .... ila in a serious note, Mama ABDUL ana kazi sana huko mbeleni. Yaani kama ataendelea 2025 basi by 2030 atakuwa amechoka ile mbaya. Sidhani kama hizi vurugu za Watanganyika ataziweza.....!!
Kuendelea kwa Samia baada ya 2025 itakuwa ni mwanzo wa kuibadili kabisa Tanzania toka iwepo. Muungano hautakuwa muungano tena, na inawezekana kabisa tukaingia kwenye machafuko.
Sioni akibadilika kuwa kitu kingine zaidi ya alivyo sasa. Nchi itagawanyika sana.
 
Wanaccm wote wanatoa rushwa wakati wa uchaguzi.wengine tuliwahi kujipenyeza kwenye kampeni za nyumba kwa usiku.sasa jiulize kampeni za usiku ni kampeni gani hizo?jibu ni za kushawishi wajumbe kwa rushwa.
Aiseeee! JF ina vichwa kweli.

Wewe umeleta jibu nililokuwa nawaza.
Mama Abdul hahitaji pesa ya kuchukulia fomu. Tayari anayo mahela mengi sana toka kwa wajomba zake.

Hivi visenti vinavyokusanywa na hawa maskini wa kila kitu (vichwani na mali), wanachokifanya ni kuandaa pesa hiyo uliyosema ya "kampeni ya nyumba kwa nyumba" huko mitaani, na kuharibu taratibu za uchaguzi.

Itabidi pawepo na taratibu za kuzifuatilia kwa karibu pesa hizi zinazochangwa sasa hivi kwa kisingizio cha kuchukulia fomu.
 
Hana mchango wowote, mchango pekee alio nao ni kuua vyama vya ushirika. Huyu Butiku enzi ya Nyanza Cooperative Union ina nguvu, alienda Mwanza Hotel, akawa anapata kinywaji, akamuona binti mkaali balaa, akamtongoza, binti akagoma, akasema Butiku atampa nini wakati yeye(binti) anatoka na Afisa wa Nyanza. Kwanza akauliza Butiku ndio nani nchi hii.

Butiku mbio kwa Nyerere, akaenda kumjaza ujinga kwamba kuna watu/taasisi zina nguvu kuliko Rais, na wanachi wanaziheshimu kuliko Rais. Nyerere kusikia hivyo, na alivyokuwa na hofu ya madaraka, kavunja vyama vyote vy ushirika, akaviweka chini ya serikali.

Yaliyobaki ni historia, ambayo huwezi kuacha kuioanisha na kilio cha wakulima na kilimo nchi hii.
Ona upumbavu wa aina yake kama huu hapa!
Na wewe unajihesabu kuwa mtu wa maana katika chawa wa huyo mama kwa akili za aina hii?

Lakini najuwa unako okota takataka za aina hii, bila shaka ni toka chuo kikuu cha Kariakoo!
 
Akina Butiku wamekaa na Nyerere akiwa madarakani kwa miaka dahari, mbona hawakumshawishi atengeneza katiba mpya? Au Takukuru imara?
 
Bila shaka hujui hii nchi ilikotoka ndio maana hujui inakotakiwa iende .
Chawa wakikaa kwenye kichwa huwa wanamfanya mtu aonekane kama mwendawazimu.

2025 ndio mtapanga kuwa nchi ipigwe mnada au vipi
Nchi iko imara sana
 
Hiyo taasisi ya Mwalimu Nyerere ameiua, imekuwa kama kikkao cha ukoo wa wazanaki tu. Yaani inazidiwa na vitaasisi vilivyoanzishwa na watoto wadogo wa juzi.

Amekuwa kiongozi wa taasisi asiye na kikomo cha muda wa uongozi, wafadhili wameikimbia taasisi kwa sababu ya ufisadi mkubwa.
Amezidiwa na taasisi kama ile ya Athuman Kapuya Foundation?
 
Back
Top Bottom