SAMUNGE TZ
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 254
- 23
Dah, kauli ngumu hii. Mwenye masikio na asikie maana hata wazee wa CCM wenyewe wanashangaa Chama chao. Kweli CCM ni janga!
hakuna kujiuzulu, mzee Butiku apambane hadi mwisho kitapoeleweka, ndio ayavue manyanga. Akiondoka kwasasa sisi hao, tutasema ameshindwa kupambana na changamoto.Ajiuzulu ama apigane hadi mwisho?