Butiku: Ningejua CCM itaingilia mchakato wa Katiba nisingeshiriki

Butiku: Ningejua CCM itaingilia mchakato wa Katiba nisingeshiriki

Mtu mzima dawa kanena ya moyoni.

Kujiuzulu sio sahihi abaki aendelee kuwaelimisha hao walavi wa madaraka ambao hawajijui kuwa wao ni karai la mchanga,nyumba ikishakamilika hata bustani halitakiwi hadi ujenzi mwingine.

Ushauri kwa tume hayo makabrasha ya CCM yazuiwe kuingia kwenye chumba cha wajumbe wa mabadilikom ya katiba nchi nzima.
 
Dah, kauli ngumu hii. Mwenye masikio na asikie maana hata wazee wa CCM wenyewe wanashangaa Chama chao. Kweli CCM ni janga!

Hakika madiliko ni makubwa sana,
Zamani hizo comments kama ya mzee butiku tayari tunakkuita jina jingine au unatafutiwa mji kama mzee jumbe
 
Ajiuzulu ama apigane hadi mwisho?
hakuna kujiuzulu, mzee Butiku apambane hadi mwisho kitapoeleweka, ndio ayavue manyanga. Akiondoka kwasasa sisi hao, tutasema ameshindwa kupambana na changamoto.
Ukweli humuweka mtu HURU.
 
Hivi kwenye katiba mpya tunachoangalia ni muungano tu!
 
Lakini mlipotahadhalishwa kuhusu CCM kufanya majanga ktk kupata wajumbe wa mabaraza ya katiba - Tundu Lisu alipiga kelele sana Bungeni,kwanini hamkushutuka mkabuni utaratibu mwingine wa kuwapata wajumbe wasio wa kubumba? Sasa leo unalalamika ili tukusaidieje mzee? Tatizo hamkutaka kufuata ushauri, au kuchukua tahadhali kwa mlilodokezwa.
 
Kama huyu mzee ni Jasiri wa kweli na kama kweli anaipenda Tanganyika kwa dhati,ajiengue kwenye hiyo tume ya ccm.Ndani ya ccm hakuna hata mmoja mwenye uthubutu wa kuwatetea wanyonge wa nchi hii.Wote ni wanafiki na wazandiki wanaopenda kuneemesha matumbo yao na familia yao.
 
Mzee Butiku ni fisadi asiye na huruma na taifa hili, alipaswa kulijua hili ameshiba posho anaanza maneno. Arudishe posho alizokula tutamuelewaa
 
WHY NOT PEOPLE THROUGH INDIVIDUALITY THOUGHT ARE NOT LISTENED tume huru ya katiba mean what?that mean all that happen is stupidity,WHY CCM CAPTURE THE ALL TUME AND POCKETISE,we call it a wastage of public money,CCM LET TUME WORKS INDEPENDENTLY OTHERWISE NO MEANS OF HAVING IT
 
Kwa akili yake angetemea wasiingie hasa wakati huu ambao wanajua bila plan B kusalia madarakani ni ngumu
 
HUYU ANAIJUA SYSTEM YETU HAPA TANZANIA TANGU ENZI ZA TANU HADI CCM INAINGIA NA AKILI IANIJUA NA DHAMIRA YAKE INAJUA HIVYO. MIMI SIMUELEWI KABISA. STAHILI YA UDIKTETA HIYO IMETUMIKA SANA HAPA TZ ILI KUMALIZA MAMBO KWA SIKU YA LEO.UGUMU WA KAZI ILIYOPO MBELE YAO ILIMPASA AIJUE NA AAMUE MAPEMA KULIKO KUFUNIKA VIGANJA USO WAKE MBELE YA SIMBA FIKIRIA SIMBA ATAMUACHA? HII KAULI YAKE IPUUZWE KWASABABU NI UNAFIKI KABISA NA DHARAU WANANCHI. ALIYEWATEUA NI RAIS WA TZ AMBAYE NDIYE RAIS WA CCM. SIKWELI ANAPOSEMA "Ningejua CCM itaingilia mchakato wa Katiba nisingeshiriki" SIKWELI HATA KIDOGO. MZEE BUTIKU JUST COOL DOWN BEFORE YOU GO TO REST HII NDO BONGO. HIYO TUME YENU SIYO TUME HURU
 
Huyu mzee ni mnafiki, kama kweli anaumia rohoni mwake si ajiudhuru? ili Nchi na Ulumwengu uone na kulijua hilo?
 
Back
Top Bottom