Huyu anayeitwa Mwanasheria makini (Bw.Tundu) hapa kwetu sidhani kama leo hii anaweza akatuma vyeti vyake Mckinsey na akapata kazi au hata kuitwa kwenye usahili tu... Hawa tunaowaita Wasomi ni huku huku Bongo tu ndio wanatudanga danya na vimisamiati vyao vya kiingereza na kupekuwa google lkn ikija kwenye Wasomi wa Kimataifa hamna kitu... Nina uhakika Bw.Tundu hana uwezo wa kuomba kazi Mckinsey na hata wakamfikiria, sasa huo Uanasheria wake unaoitwa Makini uko wapi? Mahakama ya Mnazi mmoja ama...
Toa majungu yako hapa kama wewe hujamuona wewe wenzako tumemuona.