Bwana asifiwe,Namtafuta girl aliyeokoka wa kumwoa!

-kanda ya kaskazini nawapa kipao mbele especially manyara,arusha singida tanga, katika vigezo vyoooote hiki kimoja tu ndo kimenihusu vingine hola nshakosa mume hivyo daaaaaa lkn mamaang mzee wa kanisa nifikiriage namm basi
 
Jamani bado nipo single au masharti ni mazito?
 
Mhhhh Mungu mfanye baba angu askofu naona nakosa mume sijui nihame na kabila kabisa
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] elimu form 6 Na masters hapo angeeleza mwanamke povu lingewatoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…