Bwana Freeman Mbowe, tumia lugha ya staha unapoishauri Serikali ya Rais Magufuli dhidi ya COVID19

CORONA inakusogelea kwenye lango lako kuu la makalio
 
Kuchakutwa mnaliombea taifa juuu ya mabayaa. Kumbukeni suala lakorona mpaka sasa hakuna mbinu sahihi ambayo kunataifa ulimwenguni kote wamefanikisha juu ya mapambano dhidi ya korona, kama si huruma ya Mungu kutunusuru.
Usuchanganye mambo jombaa, kuna tofauti kubwa kati ya taifa na serikali...
 
Anasumbuliwa na Newtonian law. Kuanguka kutoka kiongozi to nobody siyo rahisi kujitambua. Bado anaona nyota-nyota! Mbowe the comedian, the entertainer.
 
Mpuuzi fulani aliyekwapua madaraka anadai hashauriwi.
 
Mimi sijakuelewa...

Kwani specific umekerwa na kitu gani toka kwa Bwana Mbowe?

Je ni kukosoa au ni kwa sababu anatumia njia rahisi na ya haraka ya vyombo vya habari kufikisha ujumbe wake kwa serikali?

Na kitu kingine ni ushauri tu kwako na kwa Bwana John Pombe Magufuli (Rais wa JMT)...

Kwamba, kama huwezi kuvumilia critics, aachane na uongozi na badala yake akae nyumbani kwake aleee wajukuu...

Ukiwa kiongozi, wanaokupa ushauri huwa nadra sana kuwapata zaidi sana utapokea shida, changamoto, lawama na ukosoaji...

Kwa sbb ya haya, ndiko kunakokuimarisha kuwa kiongozi bora. Huyataki haya (i.e changamoto, kulaumiwa na kukosolewa) wewe daima utabaki kuwa kiongozi dhaifu na mjinga tu.
 
Dunia ipo kwenye vita na ugojwa wewe unajali sisa na maneno. Adui ni Corona na washindi watakuwa Binadamu na chanjo zetu. Watu wanakufa sana bila kujali vyama.
 
Initially Magufuli paid little attention to your treacherous opposition activities and failings. When you persisted he beat you on your own game.

When you certainty confess your mistakes, be certain that the support you had before from business community and the Elites will come back, we shall work on the premise that even the wisest men are sometimes wrong.
 
ungebandika hapa hiyo tuita ingependeza
 
Sawa,tumekusikia Nabii Tito.
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…