Bwana harusi amegoma kuoa siku ya harusi sababu mke mtarajiwa hana bikra huku amlimdangaya anayo

Bwana harusi amegoma kuoa siku ya harusi sababu mke mtarajiwa hana bikra huku amlimdangaya anayo

Wanaume wengi hawajui kutofautisha tafsir ya bikra inayostahili.
1. bikra ya kukutwa na utando(ambayo hutoka hata bila sex kama mazoezi au shughuli za kutanua kama kutumia baiskeli au acrobatics)
2. bikra ya kutoingiliwa na uume.
Hii nayo haipimiki kwa size ya tundu au nyonyo. Inategemea ntu na ntu!
Siku hizi tunaona kitoto kinapelekwa skuli lakin kila kiungo ni kimeiva!
Sasa kuoa kwa vigezo vya bikra ni ubinafs na kujimilikisha binadam.
Tuoe mtu kwa umbo, tabia na akili zake kwa wakat huo.
 
Back
Top Bottom