Bwana harusi amegoma kuoa siku ya harusi sababu mke mtarajiwa hana bikra huku amlimdangaya anayo

Bwana harusi amegoma kuoa siku ya harusi sababu mke mtarajiwa hana bikra huku amlimdangaya anayo

Double D dronedrake Bw.Harusi Msiri.
usiri upi ilihali kila siku namposti mke wangu ?

haya kwa faida yako huyu hapa, binti wa kitanga asiyeomba pesa

mke_wangu.jpg
 
Wanaume wengi hawajui kutofautisha tafsir ya bikra inayostahili.
1. bikra ya kukutwa na utando(ambayo hutoka hata bila sex kama mazoezi au shughuli za kutanua kama kutumia baiskeli au acrobatics)
2. bikra ya kutoingiliwa na uume.
Hii nayo haipimiki kwa size ya tundu au nyonyo. Inategemea ntu na ntu!
Siku hizi tunaona kitoto kinapelekwa skuli lakin kila kiungo ni kimeiva!
Sasa kuoa kwa vigezo vya bikra ni ubinafs na kujimilikisha binadam.
Tuoe mtu kwa umbo, tabia na akili zake kwa wakat huo.
Wewe utakuwa una masters ya bikra siyo bure.
 
Bikira ya wapi sasa [emoji1787][emoji1787][emoji23] kwani na yy ni bikra au
 
Nje ya Mada, kwann Ndoa za kiislamu zinafungwa nyumbani halafu kitandani
 
Hiyo ni haki yake mume. KWamelikoroga sasa walinywe.


Nimeshayashuhudia mara mbili tatu, si la kwanza hilo.
Basi kama umeongea mimi nani nipinge, harusi yenyewe ni ya kikobazi kobazi...😄😄😄
 
Back
Top Bottom