Huyo bwana harusi anayo Bikra kwanza???Habari wadau.
Video inajieleza vizuri
Jiue tu Mana najua Leo hujaenda TBT.usiku mwema Azzan Jr the 3rd
Mbona huyo bwana Harusi mwenyewe sio bikra alafu anataka bk huyo ni muhuni tu akua na haja ya ndoaHabari wadau.
Video inajieleza vizuri
Yaani ukiendelea Tu![emoji16][emoji16][emoji16]Hivi kabla yakufunga ndoa ndio inabidi ukaikague kwanza km ipo au inakuwaje?
sijaelewa hapo, maana wengine.hatukujihangaisha hata kufikiri
Na wagawane michango ya harusi wakaanzishe magenge ya kuuza bagia zenye pilipili.Hakuna ukweli hapo hao wametengeneza drama ili watrend
Namuacha siku hiohiona akikuambia humgusi mpaka umuoe je
amekataa bwawa bwawani πHabari wadau.
Video inajieleza vizuri
πππππ kataa makombo kataa makulumbembeHabari wadau.
Video inajieleza vizuri
EbooooKataa Used.
Kataa Bwanga.
ππππππππππππππππππππππGeneration Z wamefikia umri wa kuoa. Tutegemee kuona vituko vingi
Kataa Used.
Kataa Bwanga.