Bwana harusi amegoma kuoa siku ya harusi sababu mke mtarajiwa hana bikra huku amlimdangaya anayo

Hizi youtube tv uchwara zinasaka maokoto kwa nguvu sana..hakuna uhalisia hapo..
 
Kumbe alimwingilia kabla ya ndoa.
Kenge sana huyu.
 
Sahihi kabisa, kama alisema bikra na sio bikra hata mimi nisingeoa, angesema mapema tu kuwa amesharuka na wana, sio kesi kwani hata mimi nisharuka na mishangazi kwahiyo najua kabisa tunaaanza malegend wawili,sio kuniambia amateur wakatini professional 🤣
 
Habari wadau.

Video inajieleza vizuri
hawa youtubers wengine wa uswahilini wamekosa hata movie za kutengeneza. tengenezeni zenye akili basi au nendeni chuo cha uigizaji bagamoyo ili mtoe maigizo ya kueleweka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…