Bwana Jela Gereza asema hatawaruhusu viongozi wa CHADEMA kumuona Lissu sababu kesi iko mahakamani. Jaji amshangaa

Kama kesi ni kuhusiana na utaratibu wa kumuona Lisu Magereza halafu bado na yeye anaendelea kuruhusu watu katika utaratibu aliouzoea huoni kama hapo anajiweka kwenye wakati mgumu?

Busara ni kusimamisha mambo yote mpaka mahakama iamue kuhusiana na jambo hilo.

Majaji walipandwa na hasira bure tu.
Mkuu,
Ushawahi kupanda kizimbani? Unajua mahakama Kuna taratibu zake/ ndio maana huwezi ingia mahakamani umevaa KEPU. E.t.c

Mahakamani huwezi kuleta ubishi kama ule wa usimba na uyanga au kupayuka na kupiga kelele ovyo ovyooo
 
KIjana huoni wala husikii, ipa bahati nzuri hata wewe UTAKUFA au UTATEKWA na kuuawa kama Polepole.

Madaraka na mali za wizi vimewatoa UTU kabisa
 
Umeandika nini mzee?
 
Tukiondoa ushabiki wa Kichadema na CCM huyo Bwana Jela alichojibu ni sahihi kabisa.

Hata mimi ningefanya kama alivyofanya. Kuzuia kila kitu mpaka maamuzi yatoke.
 
KIjana huoni wala husikii, ipa bahati nzuri hata wewe UTAKUFA au UTATEKWA na kuuawa kama Polepole.

Madaraka na mali za wizi vimewatoa UTU kabisa
Hata wewe nawe Utakufa na ujinga wako wa Kichadema.

Unafikiri kuwa Chadema ndio kuwa na akili na kinga ya kifo?.

Kufa utakufa tu na kama ni mjinga utaendelea kuwa mjinga hata kama upo huko Chadema.
 
Mimi siyo CHADEMA.

Mimi nitakufa pia.

Ila nitakufa na UTU wangu bila DAMU za watu wala PESA za DHULMA na WIZI.
 
Nani anajua unachokifanya sirini.

Kila mtu anajiona ni mtu safi na yupo sahihi.

Hivyo usinitishe na hizo habari za kuwa sijui utakufa na Utu hayo ni mawazo yako endelea kujifariji una haki hiyo.
 
Mimi sijawahi kuua mtu.

Sina damu ya mtu mikononi mwangu.

Wewe mungu wako ni pesa na mwanasiasa mwenye madaraka.
 
Kesi hii imeendelea tena kutuonesha watawala wa nchi hii wakoje. Ukisikia majibu ya Mkuu wa Gereza unajiuliza kiburi anakitoa wapi?
Tunapenda tu sisi wenyewe kujisahaulisha; na pengine kujipa tu matumaini kwamba nchi hii bado inasimamiwa na taratibu za kisheria.
Kwani hatujui ni matukio mangapi ya yaliyofanywa na serikali yanayohusu uvunjifu wa sheria ambayo hadi leo hayana majibu yoyote?
Akina mzee Kibao, vifo vyao ni kama vya wanyama tu ambao hatukutaka hata kujuwa sababu zake ni zipi.

Katiba inapoitwa kijitabu cha makaratasi tu; inatueleza kitu gani kuhusu nafasi ya sheria kuendesha nchi.

Tunataka iweje ndipo tutambue kwamba hakuna sheria inayoweza kuwahukumu hao wanaotakiwa kuilinda ili ifanye kazi

Huyo Bwana Jela alipewa mwongozo anaoufuata kwa tarakimu, nje ya sheria; kwa hiyo ya hao majaji kukasirika hayamhusu yeye. Anajuwa hawezi kuwajibika yeye bila ya kulindwa na hao waliompa maelekezo..
 
Back
Top Bottom