Unatetea wauaji.Hakuna mahali nimetetea mauaji.

Wanasema ni professor wa sheriaMi nilisema kama huyu mjelajela atadodoswa na TL, ajipange, aachane na mihemko yake ya gerezani. La sivyo ataingia mkenge kwa elimu yake kiduchu. 😊
Tembelea www.katibampya.com hapo ndipo kuna majibu ya mambo mengi sana ya Changamoto za Taifa letu.KITUKO KILICHOTOKEA MAHAKAMANI.Wakati Mkuu wa Gereza yaani BWANA JELA ambae ni Andrew Shabani Ntamamilo alipohojiwa na Mhe. Tundu Lissu kuhusu Kuwazuia kabisa Mawakili kama Vile Deogratias Mahinyila, Dickson Matata lakini pia viongozi wakuu wa Chama akiwemo John Heche, Makamu Mwenyekiti, Katibu Mkuu wa Chama, John Mnyika na Amani Golugwa ambao ni mashahidi katika kesi ya Uhaini wamekataliwa kuingia Gerezani Ukonga.
Majibu ya Mkuu wa Gereza amesema yeye hajawazuia. Mhe. Lissu akasema basi watakuja kuanzia kesho. Akasema SITAWARUHUSU waingie kwasababu kesi bado iko mahakamani.
Jaji Amir Mruma ndio akaanza kumuhoji kuna amri yoyote ya Mahakama kuwa watu hawa hawapaswi kuja kumtembelea Tundu Lissu? Akasema kwa kiburi tena kuwa SITAWARUHUSU.
Jaji akavua miwani na kumuuliza unataka tufike huko. Uko serious kweli? Akiwa amekasirika sana. Maaskari Magereza walioko nyuma niliokaa nao karibu wamekimbilia nje kucheka.
Baada ya Jaji kukasirika Bwana Jela akaanza kuomba radhi kwa Jaji. Majaji wote watatu wametikisa vichwa vyao na kuonesha wanashangaa mambo haya yanawezekanaje kwenye Taifa lenye sheria na taratibu.
Kesi hii imeendelea tena kutuonesha watawala wa nchi hii wakoje. Ukisikia majibu ya Mkuu wa Gereza unajiuliza kiburi anakitoa wapi?
Ngoja tusubiri maamuzi ya Majaji mwisho wa kesi hii utakuwaje lakini naamini kila mtu anashuhudia uhalisia wa mambo ulivyo katika Taifa letu.
Tuendelee kusubiri lisaa likamilike turudi kuendelea.
Wanachama leo ni wengi mno. Mahakama imetapika. Yupo Makamu Mwenyekiti John Heche, Yupo Katibu Mkuu, Mnyika. Mama Suzan Lyimo, Mwenyekiti BAZECHA, Yupo Boniface Jacob Mwenyekiti Kanda ya Pwani, Dua Lyamzito, Katibu Mkuu BAVICHA, Pamela Massey, Katibu Mkuu Bawacha. Mzee Azaveli Lwaitama, Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini ya Chama na wanachama wengine mbalimbali.
Tutaendelea kuwaleteeni live moja kwa moja mwenendo wa kesi hii kutokea Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es salaam...
Source: Hilda Newton X X-Twitter page
=======================
FUATILIA SEHEMU YA DODOSO YA TUNDU LISSU NA MAJIBU YA JEURI YA BWANA JELA. KIDOGO AGEUZIWE KIBAO NA JAJI, BAHATI NJEMA AKAGUNDUA KOSA LAKE, NA KUOMBA RADHI
Mhe. Lissu: Je ni kweli kwamba baada ya matukio ya Oktoba 29 uliniita ofisini kwako?
Ntamamiro (Bwana Jela) : Sio kweli
Mhe. Lissu : Ulivyoniita ukaniambia kuanzia sasa ni marufuku viongozi wa Chadema na wanachama wa Chadema kuja kukutembelea.
Ntamamiro (Bwana Jela) : Sio kweli
Mhe. Lissu: Na pia ulisema ni ndugu zako wa karibu tu ndio watakutembelea?
Ntamamiro (Bwana Jela) : Sio kweli
Mhe.Lissu: Na ukasema mazungumzo yako na mawakili yatakuwa kwa mambo ya kisheria tu?
Ntamamiro (Bwana Jela): sio kweli.
Mhe. Lissu: Wakili Gaston Garubindi alikuwa anakuja kunitembelea Gerezani kabla ya Tar. 14/11/2025
Ntamamiro (Bwana Jela) : kweli
Mhe. Lissu: kuanzia hiyo tarehe hajawahi kuruhusiwa?
Ntamamiro (Bwana Jela): Simpangii.
Mhe. Lissu: Kuanzia niingie Gerezani Wakili Dickson Matata na Deogratias Mahinyila hujawahi kuwaruhusu waingie gerezani. Huyu Matata ni Mwenyekiti Kanda ya Magharibi na Mahinyila ni Mwneyekiti wa Vijana Taifa hawajawahi kuruhusiwa?
Ntamamiro (Bwana Jela): Siwalazimishi waje au wasije.
Mhe. Lissu: Kumbe ndio hivyo. Haya Mahinyila na Matata kesho njooni Ukonga.
Ntamamiro (Bwana Jela): Kesi iko Mahakamani sitawaruhusu
Mhe. Lissu: John Heche, Amani Gorugwa, Katibu Mkuu Mnyika wakiwa kama mashahidi wangu kwenye kesi ya uhaini wamezuiwa kuingia?
Ntamamiro (Bwana Jela): Hawawezi kuingia.
Jaji: Hilo la kwamba huwezi kuruhusu umelitoa wapi? Kuna amri yoyote ya Mahakama?
Ntamamiro (Bwana Jela): Siwezi kuwaruhusu.
Jaji Mruma: Tumefikia huko. Unaiambia Mahakama kuwa huwezi kuruhusu na hauna amri yoyote ya Mahakama? Uko serious kweli au hujaelewa ili tufanye maamuzi na sisi sasa?
Ntamamiro (Bwana Jela) : Waheshimiwa
majaji naomba radhi.
Jaji anamkata jicho😂🤣🤣🤣
hivi ni kwanini maaskari yanakuwaga madunya hiviKITUKO KILICHOTOKEA MAHAKAMANI.Wakati Mkuu wa Gereza yaani BWANA JELA ambae ni Andrew Shabani Ntamamilo alipohojiwa na Mhe. Tundu Lissu kuhusu Kuwazuia kabisa Mawakili kama Vile Deogratias Mahinyila, Dickson Matata lakini pia viongozi wakuu wa Chama akiwemo John Heche, Makamu Mwenyekiti, Katibu Mkuu wa Chama, John Mnyika na Amani Golugwa ambao ni mashahidi katika kesi ya Uhaini wamekataliwa kuingia Gerezani Ukonga.
Majibu ya Mkuu wa Gereza amesema yeye hajawazuia. Mhe. Lissu akasema basi watakuja kuanzia kesho. Akasema SITAWARUHUSU waingie kwasababu kesi bado iko mahakamani.
Jaji Amir Mruma ndio akaanza kumuhoji kuna amri yoyote ya Mahakama kuwa watu hawa hawapaswi kuja kumtembelea Tundu Lissu? Akasema kwa kiburi tena kuwa SITAWARUHUSU.
Jaji akavua miwani na kumuuliza unataka tufike huko. Uko serious kweli? Akiwa amekasirika sana. Maaskari Magereza walioko nyuma niliokaa nao karibu wamekimbilia nje kucheka.
Baada ya Jaji kukasirika Bwana Jela akaanza kuomba radhi kwa Jaji. Majaji wote watatu wametikisa vichwa vyao na kuonesha wanashangaa mambo haya yanawezekanaje kwenye Taifa lenye sheria na taratibu.
Kesi hii imeendelea tena kutuonesha watawala wa nchi hii wakoje. Ukisikia majibu ya Mkuu wa Gereza unajiuliza kiburi anakitoa wapi?
Ngoja tusubiri maamuzi ya Majaji mwisho wa kesi hii utakuwaje lakini naamini kila mtu anashuhudia uhalisia wa mambo ulivyo katika Taifa letu.
Tuendelee kusubiri lisaa likamilike turudi kuendelea.
Wanachama leo ni wengi mno. Mahakama imetapika. Yupo Makamu Mwenyekiti John Heche, Yupo Katibu Mkuu, Mnyika. Mama Suzan Lyimo, Mwenyekiti BAZECHA, Yupo Boniface Jacob Mwenyekiti Kanda ya Pwani, Dua Lyamzito, Katibu Mkuu BAVICHA, Pamela Massey, Katibu Mkuu Bawacha. Mzee Azaveli Lwaitama, Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini ya Chama na wanachama wengine mbalimbali.
Tutaendelea kuwaleteeni live moja kwa moja mwenendo wa kesi hii kutokea Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es salaam...
Source: Hilda Newton X X-Twitter page
=======================
FUATILIA SEHEMU YA DODOSO YA TUNDU LISSU NA MAJIBU YA JEURI YA BWANA JELA. KIDOGO AGEUZIWE KIBAO NA JAJI, BAHATI NJEMA AKAGUNDUA KOSA LAKE, NA KUOMBA RADHI
Mhe. Lissu: Je ni kweli kwamba baada ya matukio ya Oktoba 29 uliniita ofisini kwako?
Ntamamiro (Bwana Jela) : Sio kweli
Mhe. Lissu : Ulivyoniita ukaniambia kuanzia sasa ni marufuku viongozi wa Chadema na wanachama wa Chadema kuja kukutembelea.
Ntamamiro (Bwana Jela) : Sio kweli
Mhe. Lissu: Na pia ulisema ni ndugu zako wa karibu tu ndio watakutembelea?
Ntamamiro (Bwana Jela) : Sio kweli
Mhe.Lissu: Na ukasema mazungumzo yako na mawakili yatakuwa kwa mambo ya kisheria tu?
Ntamamiro (Bwana Jela): sio kweli.
Mhe. Lissu: Wakili Gaston Garubindi alikuwa anakuja kunitembelea Gerezani kabla ya Tar. 14/11/2025
Ntamamiro (Bwana Jela) : kweli
Mhe. Lissu: kuanzia hiyo tarehe hajawahi kuruhusiwa?
Ntamamiro (Bwana Jela): Simpangii.
Mhe. Lissu: Kuanzia niingie Gerezani Wakili Dickson Matata na Deogratias Mahinyila hujawahi kuwaruhusu waingie gerezani. Huyu Matata ni Mwenyekiti Kanda ya Magharibi na Mahinyila ni Mwneyekiti wa Vijana Taifa hawajawahi kuruhusiwa?
Ntamamiro (Bwana Jela): Siwalazimishi waje au wasije.
Mhe. Lissu: Kumbe ndio hivyo. Haya Mahinyila na Matata kesho njooni Ukonga.
Ntamamiro (Bwana Jela): Kesi iko Mahakamani sitawaruhusu
Mhe. Lissu: John Heche, Amani Gorugwa, Katibu Mkuu Mnyika wakiwa kama mashahidi wangu kwenye kesi ya uhaini wamezuiwa kuingia?
Ntamamiro (Bwana Jela): Hawawezi kuingia.
Jaji: Hilo la kwamba huwezi kuruhusu umelitoa wapi? Kuna amri yoyote ya Mahakama?
Ntamamiro (Bwana Jela): Siwezi kuwaruhusu.
Jaji Mruma: Tumefikia huko. Unaiambia Mahakama kuwa huwezi kuruhusu na hauna amri yoyote ya Mahakama? Uko serious kweli au hujaelewa ili tufanye maamuzi na sisi sasa?
Ntamamiro (Bwana Jela) : Waheshimiwa
majaji naomba radhi.
Jaji anamkata jicho😂🤣🤣🤣
adondoshwe mara mbili?Mi nilisema kama huyu mjelajela atadodoswa na TL, ajipange, aachane na mihemko yake ya gerezani. La sivyo ataingia mkenge kwa elimu yake kiduchu. 😊
Chawa,halafu unajiita mwanasheria.Kama kesi ni kuhusiana na utaratibu wa kumuona Lisu Magereza halafu bado na yeye anaendelea kuruhusu watu katika utaratibu aliouzoea huoni kama hapo anajiweka kwenye wakati mgumu?
Busara ni kusimamisha mambo yote mpaka mahakama iamue kuhusiana na jambo hilo.
Majaji walipandwa na hasira bure tu.
adondoshwe mara mbili?
Halafu huyu nae ni Mwanasheria eti tena registered kabisa,ushuzi mtupuKama hulipwi chochote kutetea Ungese huu BASI WE NI M#%@&#^& Kabisa.
.na kama una lipwa hapa upo kazini. Basi wanao kulipa nao ni #%@&@£^ zao.
Kumbe mpaka kazi yangu unaifahamu eeh.Halafu huyu nae ni Mwanasheria eti tena registered kabisa,ushuzi mtupu
Haupo sahihi.Itabidi akae njaa mkuu maana huyo anapenda sana kesi.
Bus Busara peleka kwa familia yako, kinachotakiwa ni sheria tu.Kama kesi ni kuhusiana na utaratibu wa kumuona Lisu Magereza halafu bado na yeye anaendelea kuruhusu watu katika utaratibu aliouzoea huoni kama hapo anajiweka kwenye wakati mgumu?
Busara ni kusimamisha mambo yote mpaka mahakama iamue kuhusiana na jambo hilo.
Majaji walipandwa na hasira bure tu.
Hata Bwana Jela mwenzako ndo mawazo yake na ndio ujinga anaoufanya na ndio maana amepandishwa kizimbani mahakamani kujibu swali hili: UNAFANYA HAYO KWA KUFUATA UTARATIBU WA KANUNI NA SHERIA GANI...??Tukiondoa ushabiki wa Kichadema na CCM huyo Bwana Jela alichojibu ni sahihi kabisa.
Hata mimi ningefanya kama alivyofanya. Kuzuia kila kitu mpaka maamuzi yatoke.
Hajapanda kizimbani kwasababu hiyo.Hata Bwana Jela mwenzako ndo mawazo yake na ndicho anachofanya na ndio maana amepanda kizimbani mahakamani kujibu swali hili: UNAFANYA HAYO KWA KUFUATA UTARATIBU WA KANUNI NA SHERIA GANI...??
Ameshindwa kujibu swali hilo na badala yake ameshia kutoa macho mithili ya mjusi aliyebanwa na mlango..🤣🤣
Hata wewe ungekuwa kama yeye®️....
Nakuhakikishia, kama Samia hatamwachia mwamba (Tundu Lissu) ndani ya siku 30 alizopewa na nguvu ya umma ya taifa hili na jumuiya ya kimataifa, basi kila ujinga aliokuwa anaufanya Bwana Jela mwenzako huyu, umeishia mahakamani leo, ameshaufyata na hatatumia sheria za kichwani mwake tena bali zile zilizoandikwa kwenye vitabu vya sheria na kwenye katiba...!!
KITUKO KILICHOTOKEA MAHAKAMANI.Wakati Mkuu wa Gereza yaani BWANA JELA ambae ni Andrew Shabani Ntamamilo alipohojiwa na Mhe. Tundu Lissu kuhusu Kuwazuia kabisa Mawakili kama Vile Deogratias Mahinyila, Dickson Matata lakini pia viongozi wakuu wa Chama akiwemo John Heche, Makamu Mwenyekiti, Katibu Mkuu wa Chama, John Mnyika na Amani Golugwa ambao ni mashahidi katika kesi ya Uhaini wamekataliwa kuingia Gerezani Ukonga.
Majibu ya Mkuu wa Gereza amesema yeye hajawazuia. Mhe. Lissu akasema basi watakuja kuanzia kesho. Akasema SITAWARUHUSU waingie kwasababu kesi bado iko mahakamani.
Jaji Amir Mruma ndio akaanza kumuhoji kuna amri yoyote ya Mahakama kuwa watu hawa hawapaswi kuja kumtembelea Tundu Lissu? Akasema kwa kiburi tena kuwa SITAWARUHUSU.
Jaji akavua miwani na kumuuliza unataka tufike huko. Uko serious kweli? Akiwa amekasirika sana. Maaskari Magereza walioko nyuma niliokaa nao karibu wamekimbilia nje kucheka.
Baada ya Jaji kukasirika Bwana Jela akaanza kuomba radhi kwa Jaji. Majaji wote watatu wametikisa vichwa vyao na kuonesha wanashangaa mambo haya yanawezekanaje kwenye Taifa lenye sheria na taratibu.
Kesi hii imeendelea tena kutuonesha watawala wa nchi hii wakoje. Ukisikia majibu ya Mkuu wa Gereza unajiuliza kiburi anakitoa wapi?
Ngoja tusubiri maamuzi ya Majaji mwisho wa kesi hii utakuwaje lakini naamini kila mtu anashuhudia uhalisia wa mambo ulivyo katika Taifa letu.
Tuendelee kusubiri lisaa likamilike turudi kuendelea.
Wanachama leo ni wengi mno. Mahakama imetapika. Yupo Makamu Mwenyekiti John Heche, Yupo Katibu Mkuu, Mnyika. Mama Suzan Lyimo, Mwenyekiti BAZECHA, Yupo Boniface Jacob Mwenyekiti Kanda ya Pwani, Dua Lyamzito, Katibu Mkuu BAVICHA, Pamela Massey, Katibu Mkuu Bawacha. Mzee Azaveli Lwaitama, Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini ya Chama na wanachama wengine mbalimbali.
Tutaendelea kuwaleteeni live moja kwa moja mwenendo wa kesi hii kutokea Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es salaam...
Source: Hilda Newton X X-Twitter page
=======================
FUATILIA SEHEMU YA DODOSO YA TUNDU LISSU NA MAJIBU YA JEURI YA BWANA JELA. KIDOGO AGEUZIWE KIBAO NA JAJI, BAHATI NJEMA AKAGUNDUA KOSA LAKE, NA KUOMBA RADHI
Mhe. Lissu: Je ni kweli kwamba baada ya matukio ya Oktoba 29 uliniita ofisini kwako?
Ntamamiro (Bwana Jela) : Sio kweli
Mhe. Lissu : Ulivyoniita ukaniambia kuanzia sasa ni marufuku viongozi wa Chadema na wanachama wa Chadema kuja kukutembelea.
Ntamamiro (Bwana Jela) : Sio kweli
Mhe. Lissu: Na pia ulisema ni ndugu zako wa karibu tu ndio watakutembelea?
Ntamamiro (Bwana Jela) : Sio kweli
Mhe.Lissu: Na ukasema mazungumzo yako na mawakili yatakuwa kwa mambo ya kisheria tu?
Ntamamiro (Bwana Jela): sio kweli.
Mhe. Lissu: Wakili Gaston Garubindi alikuwa anakuja kunitembelea Gerezani kabla ya Tar. 14/11/2025
Ntamamiro (Bwana Jela) : kweli
Mhe. Lissu: kuanzia hiyo tarehe hajawahi kuruhusiwa?
Ntamamiro (Bwana Jela): Simpangii.
Mhe. Lissu: Kuanzia niingie Gerezani Wakili Dickson Matata na Deogratias Mahinyila hujawahi kuwaruhusu waingie gerezani. Huyu Matata ni Mwenyekiti Kanda ya Magharibi na Mahinyila ni Mwneyekiti wa Vijana Taifa hawajawahi kuruhusiwa?
Ntamamiro (Bwana Jela): Siwalazimishi waje au wasije.
Mhe. Lissu: Kumbe ndio hivyo. Haya Mahinyila na Matata kesho njooni Ukonga.
Ntamamiro (Bwana Jela): Kesi iko Mahakamani sitawaruhusu
Mhe. Lissu: John Heche, Amani Gorugwa, Katibu Mkuu Mnyika wakiwa kama mashahidi wangu kwenye kesi ya uhaini wamezuiwa kuingia?
Ntamamiro (Bwana Jela): Hawawezi kuingia.
Jaji: Hilo la kwamba huwezi kuruhusu umelitoa wapi? Kuna amri yoyote ya Mahakama?
Ntamamiro (Bwana Jela): Siwezi kuwaruhusu.
Jaji Mruma: Tumefikia huko. Unaiambia Mahakama kuwa huwezi kuruhusu na hauna amri yoyote ya Mahakama? Uko serious kweli au hujaelewa ili tufanye maamuzi na sisi sasa?
Ntamamiro (Bwana Jela) : Waheshimiwa
majaji naomba radhi.
Jaji anamkata jicho😂🤣🤣🤣
Vipo mwishoni mwishoniWana viburi sana hawa watu