magnifico
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 14,029
- 34,441
GPS kwa ajili ya Location? Kama ndio GPS sio njia pekee ya kujua Location.Utadukuaje simu isiokuwa na GPS?
GPS kwa ajili ya Location? Kama ndio GPS sio njia pekee ya kujua Location.Utadukuaje simu isiokuwa na GPS?
Ukiwa na smartphone Na kutumia secure connection data zako zinabadilishwa kwenda mfumo ambao husomeki hata kina voda na Tigo hawajui.
Ila kiswaswadu kila kitu kipo wazi, kina voda na Tigo ama mtu yoyote katikati anasema bila wasiwasi.
Ngoja tuone itakuaje
Wewe Mzee unaingia chaka..Max ni mtaalam mbobevu kwenye hayo mambo.. Hivyo akiongea anamaanisha na anajua anaonge nini...!! kwakuwa kiswaswadu hakina hata nywila ya kidigitali
Wewe....acha mchezo..Sasa 2FA authentication inasaidia vip mtu asisikilize mazungumzo yako kupitia SPKuna 2FA na mifumo mingi tu hata mtu akiwa na no yako hawezi access data zako usikariri.
Mh! mimi ni nani nipinge!Mtaalam mbobezi wa lugha ya Kiswahel.. Bwana Ony Sigala ndani ya nyumbi.. Karibu sana mkuu😀
Anaonglea kwamba mtu akiwa na no yako anaweza kuitumia kupata access ya account yako, hilo linazuilika kwa kutumia 2FA.Wewe....acha mchezo..Sasa 2FA authentication inasaidia vip mtu asisikilize mazungumzo yako kupitia SP
Nyie ni ma big bro's humu we know that ila haina maana kila kitu mnajuaMax ni mtaalam mbobevu kwenye hayo mambo.. Hivyo akiongea anamaanisha na anajua anaonge nini...!! kwakuwa kiswaswadu hakina hata nywila ya kidigitali
Ndio mabro ni wa kitambo humu jf lakini kuna vitu pia hawajuiMkuu mbona mimi nilikuwa natumia hii Nokia 1100 kwa muda mrefu na ilikuwa inaniruhusu kuweka nywila ya kidigitali.
View attachment 3341617
Kiutaalamu Kiswaswadu kina attack surface ndogo ukiilinganisha na Smartphone. Smartphone ina connect na WIFI, Bluetooth, 3G/4G/5G, GPS etc. Bado humo humo unaweza kuinstall apps ambazo zinaweza kuwa ndio virusi vyenyewe, hivyo vyote vinaongeza uwezekano wa kuwa hacked kirahisi kuliko Kiswaswadu kinacho kuwezesha kupiga na kupokea meseji fupi.
Kwenye masuala "technical" ni muhimu zaidi kuweka objectivity...tusiangalie nani amesema nini bali tuangalie nini kimesemwa.
Russian mafia can do thatUtadukuaje simu isiokuwa na GPS?
Kuna kitu nimejifunzaNdio maana nimekaa kimya .
simu zinaongozwa na utambulisho ambao ni IMEI namba ,kama unavyoona utambulisho mwengine ukiwa kwenye internet ni IP na DNS,kwenye wireless ni mac adress,kwenye blutooth ni adress.
kampuni za simu ili zitambue namba ya simu hipo kwenye simu inaenda na utambulisho wa IMEI ili kutambua kifaa.
ndio maana polisi wanapotaka kutafuta mtu utumia IMEI na Imei ikiwa imefutwa na kubadilishwa sio rahisi kukamatwa.