Kelvin35
JF-Expert Member
- Feb 26, 2023
- 1,199
- 1,833
2G phones, while simpler and often less expensive, are significantly less secure than smartphones due to their outdated technology and lack of robust encryption. Smartphones offer more advanced security features and regular updates, but also present different vulnerabilities.Wenzetu mnaofahamu mambo ya IT. Hivi kiswaswadu si vile visimu vya torch ambavyo havina android wala ios.
Sasa imekuwaje kuwa rahisi kudukuliwa kuliko smartphone.
Hii nchi bwana
kuna simu haina GPS????Utadukuaje simu isiokuwa na GPS?
Vile vina run on symbian OS (haswa viswaswadu vya nokia, ambayo imekuwa designed kwa kutumia java language, very easy kwa mtu mwenye knowledge hiyo, na kulikuwa kuna app inakupa access ya root files, you can delete any program, uka modify files and othersWenzetu mnaofahamu mambo ya IT. Hivi kiswaswadu si vile visimu vya torch ambavyo havina android wala ios.
Sasa imekuwaje kuwa rahisi kudukuliwa kuliko smartphone.
Hii nchi bwana
View attachment 3341613
Bomboclaat, rest in peace ma nigga.Mkuu mbona mimi nilikuwa natumia hii Nokia 1100 kwa muda mrefu na ilikuwa inaniruhusu kuweka nywila ya kidigitali.
View attachment 3341617
Kiutaalamu Kiswaswadu kina attack surface ndogo ukiilinganisha na Smartphone. Smartphone ina connect na WIFI, Bluetooth, 3G/4G/5G, GPS etc. Bado humo humo unaweza kuinstall apps ambazo zinaweza kuwa ndio virusi vyenyewe, hivyo vyote vinaongeza uwezekano wa kuwa hacked kirahisi kuliko Kiswaswadu kinacho kuwezesha kupiga na kupokea meseji fupi.
Kwenye masuala "technical" ni muhimu zaidi kuweka objectivity...tusiangalie nani amesema nini bali tuangalie nini kimesemwa.
Kama nyinyi ndio wataalamu wetu wa IT hapa Tanzania basi bado tuna kazi kazi kubwa sana ya kufanya Ili kuufuta huu ujingaSio rahisi ku-hack feature phone ukilinganisha na smartphone.
-Technical capabilities - feature phone mara nyingi hazina mfumo wa kisasa wa uendeshaji kama Android au iOS, hii hupunguza njia za kushambulia (attack surface).
- Hazina internet au apps nyingi, kwa hiyo hacker hawezi kutumia njia za kawaida kama kupenyeza malware kupitia apps au tovuti.
-Kwa kuwa hazina Wi-Fi, Bluetooth ya kisasa, au GPS katika kiwango cha juu, njia nyingi za kisasa za hacking hazifanyi kazi kwenye feature phone.
- Hii haimaanishi feature phone haiwezi kabisa ku-hackiwa. Inawezekana
-Kupitia SIM card attacks (Sim-jacker).
-Kupitia SMS zilizo na code za hacking.
-Kupitia mawasiliano ya karibu kama Bluetooth (kama ikiwa imewashwa).
Feature phone ni salama zaidi kwa ujumla dhidi ya hacking ikilinganishwa na smartphones, hasa kwa sababu ya urahisi wao na ukosefu wa vipengele vya kisasa vya kiteknolojia vinavyoweza kuwa na mianya ya usalama.
Kabla sijasahau mjinga ni baba na mama yako.Kama nyinyi ndio wataalamu wetu wa IT hapa Tanzania basi bado tuna kazi kazi kubwa sana ya kufanya Ili kuufuta huu ujinga
Kwani kudukua maana yake Nini?
Kudukua ni kitendo Cha mtu kuingilia kati katika kifaa chako Cha kidigitali na kufanya vitu ambavyo wewe mwenyewe hukupanga kuvifanya
Kwahiyo mdukuzi inategemea anataka taarifa gani kwako
Unaweza ukawa na smart phone na kiswaswadu alafu mdukuzi akadukua kiswaswadu chako na kuiacha smart phone yako
Kwa sababu anachotaka kujua kutoka kwako atakipata katika kiswaswadu chako
Alafu unasema kiswaswadu hakitumii GPS sa kumbe kinatumia Nini?
Yani hata haujui development za hizi software zikoje
Nahisi alikuwa analenga side channel attack, ( hasa anaangalia udukuaji ) wa hizi huduma za kipesa za kwenye simu. Kwa kutumia hiyo attack mtu anaweza fahamua password na huduma anayotumia wa kutumia hiyo attack. Ambayo ni tofauti na smart phone. Attacker anachoftuta huwa ni information kwenye dhana ingine Kiswaswadu havina taarifa nyingi zaidi ya sms, normal call na kutoa hela au kupokea ( lengo hapo mobile money kwa hisia zangu ) ingawa sina uhakika.Vile vina run on symbian OS (haswa viswaswadu vya nokia, ambayo imekuwa designed kwa kutumia java language, very easy kwa mtu mwenye knowledge hiyo, na kulikuwa kuna app inakupa access ya root files, you can delete any program, uka modify files and others
Now days symbian os ni kama dinosaur
Nani tena mzee baba?Nahisi alikuwa analenga side channel attack, ( hasa anaangalia udukuaji ) wa hizi huduma za kipesa za kwenye simu. Kwa kutumia hiyo attack mtu anaweza fahamua password na huduma anayotumia wa kutumia hiyo attack. Ambayo ni tofauti na smart phone. Attacker anachoftuta huwa ni information kwenye dhana ingine Kiswaswadu havina taarifa nyingi zaidi ya sms, normal call na kutoa hela au kupokea ( lengo hapo mobile money kwa hisia zangu ) ingawa sina uhakika.
C.c Intelligent businessman
wewe unaelewa maana udukuzi au ufatiliaji.Kama nyinyi ndio wataalamu wetu wa IT hapa Tanzania basi bado tuna kazi kazi kubwa sana ya kufanya Ili kuufuta huu ujinga
Kwani kudukua maana yake Nini?
Kudukua ni kitendo Cha mtu kuingilia kati katika kifaa chako Cha kidigitali na kufanya vitu ambavyo wewe mwenyewe hukupanga kuvifanya
Kwahiyo mdukuzi inategemea anataka taarifa gani kwako
Unaweza ukawa na smart phone na kiswaswadu alafu mdukuzi akadukua kiswaswadu chako na kuiacha smart phone yako
Kwa sababu anachotaka kujua kutoka kwako atakipata katika kiswaswadu chako
Alafu unasema kiswaswadu hakitumii GPS sa kumbe kinatumia Nini?
Yani hata haujui development za hizi software zikoje
Chatgpt imejitahidi but kuna mahali information zime lackKudukua (kuhack) kiswawasadu (feature phone) kwa kawaida ni rahisi kuliko simu ya smartphone, lakini hii inategemea mambo kadhaa. Hapa kuna uchanganuzi wa haraka:
1. Teknolojia ya Msingi: Kiswawasadu kina mfumo rahisi wa uendeshaji (OS) ikilinganishwa na smartphone. Mifumo kama Symbian au Java-based platforms mara nyingi haina ulinzi wa hali ya juu kama vile encryption ya data au sandboxing, ambayo inawafanya kuwa rahisi zaidi kushambuliwa kwa njia kama vile SMS-based exploits au malware rahisi.
2. Vipengele vya Usalama: Simu za smartphone, hasa zile zinazoendesha iOS au Android, zina vipengele vya usalama vya kisasa kama vile updates za mara kwa mara, app permissions, na encryption. Hii inafanya iwe vigumu zaidi kuziingilia, ingawa bado zinaweza kushambuliwa ikiwa hazijakingwa vizuri (k.m. kutotumia updates au kupakua apps za hatari).
3. Lengo la Wahacker: Kiswawasadu mara nyingi sio lengo la kawaida la wahacker kwa sababu hazina data nyingi za thamani (kama akaunti za benki au media za kijamii) ikilinganishwa na smartphone. Hii inaweza kufanya zisidukuliwe sana, lakini pia ziko hatarini zaidi ikiwa mshambuliaji atalenga mtandao wa SMS au simu.
4. **Njia za Kudukua: Kwa kiswawasadu, mbinu rahisi kama vile phishing kupitia SMS au kumudu mtu kushiriki nambari ya SIM inaweza kufanikiwa. Kwa smartphone, mbinu za kisasa kama spyware, ransomware, au kutumia vulnerabilities za apps zinahitajika, ambazo zinahitaji ujuzi wa hali ya juu zaidi.
Hitimisho: Kwa ujumla, kiswawasadu ni rahisi kudukua kwa sababu ya ukosefu wa ulinzi wa kisasa, lakini smartphone pia ziko hatarini ikiwa hazijalindwa vizuri. Usalama unategemea tabia ya mtumiaji (kama kuepuka links za hatari) na jinsi kifaa kinavyosimamiwa. Ikiwa una maswali zaidi kuhusu usalama wa simu, niambie!
Source:chatgpt
Wenzetu mnaofahamu mambo ya IT. Hivi kiswaswadu si vile visimu vya torch ambavyo havina android wala ios.
Sasa imekuwaje kuwa rahisi kudukuliwa kuliko smartphone.
Hii nchi bwana
View attachment 3341613
Big Balls mzee babaNani tena mzee baba?