Bwana Max wa JF hata kama unamiliki mtandao hapa swala la hack umechekesha

Bwana Max wa JF hata kama unamiliki mtandao hapa swala la hack umechekesha

Kwenye issue ya udukuzi inategemea uzoefu na utaalamu wa mdukuzi. Viswaswadu vinaweza kudukuliwa ila ingependeza hiyo interview iletwe hapa tuelewe alichomaanisha.
 
Kwani udukuzi ni nini?, inabidi tuanzie hapo. Maadamu zinatumia masafa na mtandao kusafirisha data basi inawezekana kabisa kudukuliwa. Suala la urahisi na ugumu inategemea na ustadi/utaalamu wa mhusika.
Udukuzi ni Kuingialia mfumo wenye taarifa za uwendeshaji au tuseme mfano wa ujambazi ambaye anavunja nyumba yako bila ruhusa yako na kukuta mali ndani.
 
Mwenyewe naona kabisa katupiga hapa.
Sio rahisi ku-hack feature phone ukilinganisha na smartphone.

-Technical capabilities - feature phone mara nyingi hazina mfumo wa kisasa wa uendeshaji kama Android au iOS, hii hupunguza njia za kushambulia (attack surface).

- Hazina internet au apps nyingi, kwa hiyo hacker hawezi kutumia njia za kawaida kama kupenyeza malware kupitia apps au tovuti.

-Kwa kuwa hazina Wi-Fi, Bluetooth ya kisasa, au GPS katika kiwango cha juu, njia nyingi za kisasa za hacking hazifanyi kazi kwenye feature phone.

- Hii haimaanishi feature phone haiwezi kabisa ku-hackiwa. Inawezekana
-Kupitia SIM card attacks (Sim-jacker).
-Kupitia SMS zilizo na code za hacking.
-Kupitia mawasiliano ya karibu kama Bluetooth (kama ikiwa imewashwa).

Feature phone ni salama zaidi kwa ujumla dhidi ya hacking ikilinganishwa na smartphones, hasa kwa sababu ya urahisi wao na ukosefu wa vipengele vya kisasa vya kiteknolojia vinavyoweza kuwa na mianya ya usalama.
 
Umemaliza mkuu!
 
Ni vizuri kutafiti
Katika Kiswahili fasaha.
-Rununu ndilo neno sahihi na lililoafikiwa kutumika kumaanisha simu ya mkononi au mobile phone.

-Kiswaswadu si neno linalotambulika katika Kamusi ya Kiswahili sanifu, wala halitumiki rasmi.

-Tume ya Kiswahili ya Afrika Mashariki pamoja na Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA) wanalitumia rasmi neno rununu katika mawasiliano ya kitaalamu na ya elimu.
 
Nchi yetu watu wapo tayari kumuamini mwanasiasa ambaye anazungumzia jambo ambalo hana utaalamu nalo , Ila sio kumuamini mtaalamu na mbobezi katika jambo Fulani inafikirisha pia.

Ukimsikiliza Msigwa Jana na ukamsikiliza Melo Unaona IPO safari ya utambuzi kwa Mama Tanzania.
Ukimsikiliza Msigwa Jana na ukamsikiliza Melo Unaona IPO safari ya utambuzi kwa Mama Tanzania.
 
Na neno linalotambulika ni "rununu" kiswaswadu ni limevuma siku hizi tu!.
Sina hakika sana na kauli yake!, ila kwakuwa daktari wa maeneo hayo ndo kasema basi sawa!...😅
Kwakuwa una imani nusu na robo ama huna hakika!?😂
 
CEO bwana, kwamba feature phones zinadukuliwa kirahisi kuliko smartphones? Zipo njia nyingi za kudukua smartphones kuliko feature phones, tusidanganyane.
 
Na neno linalotambulika ni "rununu" kiswaswadu ni limevuma siku hizi tu!.
Sina hakika sana na kauli yake!, ila kwakuwa daktari wa maeneo hayo ndo kasema basi sawa!...😅
Mtaalam mbobezi wa lugha ya Kiswahel.. Bwana Ony Sigala ndani ya nyumbi.. Karibu sana mkuu😀
 
Mkuu mbona mimi nilikuwa natumia hii Nokia 1100 kwa muda mrefu na ilikuwa inaniruhusu kuweka nywila ya kidigitali.

View attachment 3341617

Kiutaalamu Kiswaswadu kina attack surface ndogo ukiilinganisha na Smartphone. Smartphone ina connect na WIFI, Bluetooth, 3G/4G/5G, GPS etc. Bado humo humo unaweza kuinstall apps ambazo zinaweza kuwa ndio virusi vyenyewe, hivyo vyote vinaongeza uwezekano wa kuwa hacked kirahisi kuliko Kiswaswadu kinacho kuwezesha kupiga na kupokea meseji fupi.

Kwenye masuala "technical" ni muhimu zaidi kuweka objectivity...tusiangalie nani amesema nini bali tuangalie nini kimesemwa.
Digital password ni very deep mkuu. Kama kwako umeweza bado iko so limited
 
Mkuu mbona mimi nilikuwa natumia hii Nokia 1100 kwa muda mrefu na ilikuwa inaniruhusu kuweka nywila ya kidigitali.

View attachment 3341617

Kiutaalamu Kiswaswadu kina attack surface ndogo ukiilinganisha na Smartphone. Smartphone ina connect na WIFI, Bluetooth, 3G/4G/5G, GPS etc. Bado humo humo unaweza kuinstall apps ambazo zinaweza kuwa ndio virusi vyenyewe, hivyo vyote vinaongeza uwezekano wa kuwa hacked kirahisi kuliko Kiswaswadu kinacho kuwezesha kupiga na kupokea meseji fupi.

Kwenye masuala "technical" ni muhimu zaidi kuweka objectivity...tusiangalie nani amesema nini bali tuangalie nini kimesemwa.
Wanafikiri kila mtu mradi kaongea ni rahis...

Ukiibiwa simu ya kiswaswadu na smartphone. Ipi ni rahis kuidukua na ukajua mahali ilipo?
 
Haihitaji hata kwenda kusikiliza hayo mahojiano lakini kwa alicho kisema hapana napingana naye kwa herufi kubwa kabisa 🤒
Ma IT wabobevu wamefika! Pameanza kuchangamka sass😀😀😀
 
Wanafikiri kila mtu mradi kaongea ni rahis...

Ukiibiwa simu ya kiswaswadu na smartphone. Ipi ni rahis kuidukua na ukajua mahali ilipo?
Ndio maana nimekaa kimya .
simu zinaongozwa na utambulisho ambao ni IMEI namba ,kama unavyoona utambulisho mwengine ukiwa kwenye internet ni IP na DNS,kwenye wireless ni mac adress,kwenye blutooth ni adress.
kampuni za simu ili zitambue namba ya simu hipo kwenye simu inaenda na utambulisho wa IMEI ili kutambua kifaa.
ndio maana polisi wanapotaka kutafuta mtu utumia IMEI na Imei ikiwa imefutwa na kubadilishwa sio rahisi kukamatwa.
 
Ngoja nipate CV yake.... training yake from primary school until today. Mshana Jr
Sina shaka na majibu ya Max kwenye hayo mawanda ni mtaalam mbobovu tangu alipokuwa Google.. Na 24/4 yuko kwenye haya mambo tofauti na sisi tunaoingia na kutoka... Pamoja na SP kuwa vulnerable kwenye udukuzi lakini bado kuna ulinzi mbalimbali wa kitech.. Kitu kinachokosekana kwenye kiswaswadu
 
Na neno linalotambulika ni "rununu" kiswaswadu ni limevuma siku hizi tu!.
Sina hakika sana na kauli yake!, ila kwakuwa daktari wa maeneo hayo ndo kasema basi sawa!...😅
Ha ha mbona inaenda kinyakyusa kuna neno " tununu" la akina "Mwanafyale,
 
Umebandika kichwa Cha Uzi wako katika namna ya dhihaka Sana . Na kumbe hujui lolote kuhusu Mambo ya IT ...
Sawa kabisa yaani tuwe flexible sio kudharau ila ku ignore tu post nyingine, zipite humu, yaani shida.
 
Back
Top Bottom