Bwana Max wa JF hata kama unamiliki mtandao hapa swala la hack umechekesha

Bwana Max wa JF hata kama unamiliki mtandao hapa swala la hack umechekesha

Sidhani kama yupo sahihi kuhusiana na suala hili.
Ukweli halisi ni kwamba ni rahisi zaidi kudukuliwa katika simu za Smartphone kuliko simu za kawaida yaani Cellphones.
SHIDA INAKUJA HIVI NILICHO GUNDUA HAPA TZ.
Ukiwa na mafanikio kama utajiri,uwongozi na umiliki basi wote tunaokusikiliza tuna amini unachosema unajua kumbe unaweza kuwa hauna uwezo unayosema.
 
Fafanua ni kipi amechekesha ndugu graduate uliesoma sociology
 
Na neno linalotambulika ni "rununu" kiswaswadu ni limevuma siku hizi tu!.
Sina hakika sana na kauli yake!, ila kwakuwa daktari wa maeneo hayo ndo kasema basi sawa!...😅
Ukimsikia mtu anambishia mtaalam wa jambo fulani anza mara moja kukaa kwa tahadhari na huyo mtu yawezekana ni alshabab😂😂😂
 
2G phones, while simpler and often less expensive, are significantly less secure than smartphones due to their outdated technology and lack of robust encryption. Smartphones offer more advanced security features and regular updates, but also present different vulnerabilities.

2G Phones Security Concerns:

Weak Encryption:
2G technology relies on weak encryption that can be easily cracked, allowing attackers to intercept calls and text messages.

No Authentication:
2G lacks a robust authentication mechanism, meaning anyone can impersonate a real cell tower, leading to fake cell tower attacks.

Outdated Software:
2G phones often run outdated software with known vulnerabilities that are not regularly patched.

Phased Out:
Many countries are phasing out 2G networks due to security concerns and the need to allocate frequency spectrum for newer technologies.

Smartphone Security Considerations:

Advanced Security Features:
Smartphones offer features like biometric authentication, encryption, and firewalls to protect data.

Regular Updates:
Smartphones receive regular software updates that address security vulnerabilities and improve performance.

Malware and Phishing:
Smartphones are susceptible to malware, phishing attacks, and other online threats, requiring users to be cautious about installing apps and clicking on links.

Physical Access:
Smartphones can be vulnerable to physical access, where attackers can steal data or install malware.

Cellular MitM Attacks:
Attackers can intercept communications on cellular networks, including smartphones, through man-in-the-middle attacks.

"If you keep in the past the future will never discover you."
Osama bin Laden.

Licha ya yote haya uliyoeleza, Ukweli ni kwamba Cellphones ni ngumu kudukuliwa ukilinganisha na hizi Smartphones. Vifaa vingi Sana vya kufanyia udukuzi vinatumia Teknolojia za kisasa ambazo nyingi sana zipo compatible na Teknolojia zinazotumika katika Simu za Smartphones, lakini siyo Cellphones.

Hacking tools nyingi sana zinatumia Teknolojia zunazotumika katika Simu za smartphones. Hacking katika Simu za Cellphones zaidi sana zinafanyika na kufarakanishwa na Watoa huduma za kimtandao, yaani Service Providers (SP) kwa kuingia moja kwa moja kwenye Akaunti ya mtumiaji wa huduma za kimtandao na kisha kupakua taarifa za Matumizi ya Simu ya mhusika, unlike kwa Watumiaji wengi sana wa simu za Smartphones ambazo taarifa za Watumiaji wa Simu hizo zinaweza kuibiwa kiurahisi zaidi bila hata Mwizi wa taarifa hizo kwenda kwa Mtoa huduma za kimtandao (SP). Mwizi anaweza akawa yupo Marekani na akaiba taarifa zote kabisa za Watumiaji wa Smartphones waliopo nchini Tanzania bila ya wao wenyewe Walengwa kujua.
 
Wenzetu mnaofahamu mambo ya IT. Hivi kiswaswadu si vile visimu vya torch ambavyo havina android wala ios.

Sasa imekuwaje kuwa rahisi kudukuliwa kuliko smartphone.

Hii nchi bwana
View attachment 3341613
Ukiwa na smartphone Na kutumia secure connection data zako zinabadilishwa kwenda mfumo ambao husomeki hata kina voda na Tigo hawajui.

Ila kiswaswadu kila kitu kipo wazi, kina voda na Tigo ama mtu yoyote katikati anasema bila wasiwasi.
 
hakuna kampuni ya mawasiliano inayoweza kusoma whatsapp ila kama watatumia namba yako kuomba clone ya nywira ya usajili wa whatsapp.
kiswaswadu hakina mfumo wa kuingiliwa na computer sababu uwezi wa kudukuliwa labda mtandao wasome meseji zao na kutrack IMEI.
 
Did Amin Mama anatuharibia soko huyu. 🤔
 
Attachments

  • Screenshot_2025-05-22-11-19-33-562.jpg
    Screenshot_2025-05-22-11-19-33-562.jpg
    324.6 KB · Views: 14
hakuna kampuni ya mawasiliano inayoweza kusoma whatsapp ila kama watatumia namba yako kuomba clone ya nywira ya usajili wa whatsapp.
kiswaswadu hakina mfumo wa kuingiliwa na computer sababu uwezi wa kudukuliwa labda mtandao wasome meseji zao na kutrack IMEI.
Hapo nadhani alimaanisha kutrack kiswaswadu ni rahisi maana huwei tumia zile VPN ila smart ngumu unaona mtu yuko ulaya kumbe yupo buza.
 
Hapo nadhani alimaanisha kutrack kiswaswadu ni rahisi maana huwei tumia zile VPN ila smart ngumu unaona mtu yuko ulaya kumbe yupo buza.
kiswaswadi mwisho wake ni IMEI tu.
udukuzi unaingiliana na mifumo ambayo itakuwa na ukaribu IP,DNS kama ilivyo computer.
toka lini kiswaswadu simu ya kitoch kikawa na instagram,snapchart
 
hakuna kampuni ya mawasiliano inayoweza kusoma whatsapp ila kama watatumia namba yako kuomba clone ya nywira ya usajili wa whatsapp.
kiswaswadu hakina mfumo wa kuingiliwa na computer sababu uwezi wa kudukuliwa labda mtandao wasome meseji zao na kutrack IMEI.
Kuna 2FA na mifumo mingi tu hata mtu akiwa na no yako hawezi access data zako usikariri.
 
Back
Top Bottom