Mkuu mbona mimi nilikuwa natumia hii Nokia 1100 kwa muda mrefu na ilikuwa inaniruhusu kuweka nywila ya kidigitali.
View attachment 3341617
Kiutaalamu Kiswaswadu kina attack surface ndogo ukiilinganisha na Smartphone. Smartphone ina connect na WIFI, Bluetooth, 3G/4G/5G, GPS etc. Bado humo humo unaweza kuinstall apps ambazo zinaweza kuwa ndio virusi vyenyewe, hivyo vyote vinaongeza uwezekano wa kuwa hacked kirahisi kuliko Kiswaswadu kinakuwezesha kupiga na kupokea meseji fupi.
Kwenye masuala "technical" ni muhimu zaidi kuweka objectivity...tusiangalie nani amesema nini bali tuangalie nini kimesemwa.