Bwana Max wa JF hata kama unamiliki mtandao hapa swala la hack umechekesha

Ukiwa na smartphone Na kutumia secure connection data zako zinabadilishwa kwenda mfumo ambao husomeki hata kina voda na Tigo hawajui.

Ila kiswaswadu kila kitu kipo wazi, kina voda na Tigo ama mtu yoyote katikati anasema bila wasiwasi.

Ukiwa na Cellphone au Smartphone basi unaweza kudukuliwa, lakini ukiwa na Smartphone unaweza kudukuliwa kiurahisi zaidi hata kama utatumia secure connection iliyo imara kiasi gani.

Simu zilizo salama zaidi kutokana na matishio ya udukuzi hapa duniani ni Satellite Phones only.
Satellite-phones ndizo Simu ambazo ni vigumu Sana kupita kiasi kuweza kudukuliwa, unless Mdukuaji awe ana Vifaa vya Kijeshi (Rada) za kisasa za kuweza kufanikisha suala hili.
Ni Rada za Kijeshi tu ndizo ambazo zenye uwezo wa kudukua au hata ku-detect uwepo wa Simu za namna hiyo.
 
Wewe....acha mchezo..Sasa 2FA authentication inasaidia vip mtu asisikilize mazungumzo yako kupitia SP
Anaonglea kwamba mtu akiwa na no yako anaweza kuitumia kupata access ya account yako, hilo linazuilika kwa kutumia 2FA.

Kuhusu mazungumzo smartphone zinatumia tech za Kisasa ambazo zina Encryption, wote whatsapp na app kubwa kubwa zina end to end encryption kitu ambacho feature phone hamna.

Inshort mazungumzo ya feature phone hata laptop ya 150,000 machinga complex inaweza ikadukua.
 
Max ni mtaalam mbobevu kwenye hayo mambo.. Hivyo akiongea anamaanisha na anajua anaonge nini...!! kwakuwa kiswaswadu hakina hata nywila ya kidigitali
Nyie ni ma big bro's humu we know that ila haina maana kila kitu mnajua

Kwenye hilo hakuna ukweli ata kidogo
Kuna jamaa wangu anafanya magendo fulani,ambayo sio hatarishi kwa jamii

Lakini Huwa ananisihii sana kuacha kutumia smartphone kama nahitaji kufanya magendo pia
 
Ndio mabro ni wa kitambo humu jf lakini kuna vitu pia hawajui
 
Kuna kitu nimejifunza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…