Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Umezaliwa mwaka gani?Hivi hapa mnaongelea nini?
😆😄😂😃😅😎🙆♂️🤣😊🤪😒😢Jamaa Una Madharau WeweHivi hapa mnaongelea nini?
Bwana misosi alikaa sana SA akarudi bongo life lika mpa mgongo ndio akawekeza nguvu kwenye mziki akaja na nitoke VP..Kati ya matukio ya kisanii ya Bwana Misosi ambayo hatakuja kusahau, akiwa bado mchanga kisanii na ndio ametoa hit song yake ya kwanza "Nitoke Vipi."
Ni love aliyoonyeshwa na wasanii wakubwa wa wakati huo ambao wengi aliwataja kwenye ngoma yake na wakajitokeza kwenye video.
Jaribu kujiweka katika nafasi ya Bwana Misosi, support aliyopata ilikuwa ya hali ya juu sana.
Misosi alitafuta namna ya kutoka akaona namna ya kutoka ni kuwa shout wasanii wengi katika wimbo wake wa Misosi Nitoke Vipi.Kati ya matukio ya kisanii ya Bwana Misosi ambayo hatakuja kusahau, akiwa bado mchanga kisanii na ndio ametoa hit song yake ya kwanza "Nitoke Vipi."
Ni love aliyoonyeshwa na wasanii wakubwa wa wakati huo ambao wengi aliwataja kwenye ngoma yake na wakajitokeza kwenye video.
Jaribu kujiweka katika nafasi ya Bwana Misosi, support aliyopata ilikuwa ya hali ya juu sana.
Sikujua hii, nilisikia pia ni mtaalamu wa umemeBwana misosi alikaa sana SA akarudi bongo life lika mpa mgongo ndio akawekeza nguvu kwenye mziki akaja na nitoke VP..
KITAMBO ICHOO NOMA SANA GEN Z HAWAJUI KINACHO ENDELEA
Mastory mengi Mimi Huwa nayapata kwenye the classic kipindi cha zamani E Fm cha kaka etu KUVI CHAKASikujua hii, nilisikia pia ni mtaalamu wa umeme
Sahihi ila haikuwa rahisi nao upande wa pili walikuwa tayari kumsupportMisosi alitafuta namna ya kutoka akaona namna ya kutoka ni kuwa shout wasanii wengi katika wimbo wake wa Misosi Nitoke Vipi.
Wasanii wakapenda walivyopata shout out hiyo, na hivyo ikawa rahisi ku link naye.
Hapo unahitaji kuwa na mtu wa kukuunganisha, mtu ambaye Misosi alikuwa naye tayari.Sahihi ila haikuwa rahisi nao upande wa pili walikuwa tayari kumsupport
Bwana Misosi sasa imbaa ni, nitoke vipi? Kale kasauti nakasikia😆😆Kati ya matukio ya kisanii ya Bwana Misosi ambayo hatakuja kusahau, akiwa bado mchanga kisanii na ndio ametoa hit song yake ya kwanza "Nitoke Vipi."
Ni love aliyoonyeshwa na wasanii wakubwa wa wakati huo ambao wengi aliwataja kwenye ngoma yake na wakajitokeza kwenye video.
Kwa msanii underground support aliyopata ilikuwa ya hali ya juu sana.
Mzee Historia umeishikaHapo unahitaji kuwa na mtu wa kukuunganisha, mtu ambaye Misosi alikuwa naye tayari.
Wale watoto wa Tanga walikuwa wanakuja Dar hawaujui mji tunawaunganisha na ma star w amjini tangu enzi za Rough Niggaz na Steve2K (RIP). Tumewapeleka mpaka studio kwa Marlon Don Bosco na Radio One kwenye ile ahow ya Amina Chifupa nafikiri.
So walikuwa wanatafuta watu wa kuwapa connections za mjini.
Hata Sugu mwenyewe kaingia mjini watu wanamuona wakamuunganisha na Dar Young Mob enzi hizo za Kim Mgomelo anaendesha mashindano ya Yo Rap Bonanza na Villela yupo ITV ana direct videos za muziki.
Sie ndo wajukuu wa Jumbe Tambaza tuliobaki, hatujaja mjini mji umekuja kwetu 🙂Mzee Historia umeishika
Hahaha sawaSie ndo wajukuu wa Jumbe Tambaza tuliobaki, hatujaja mjini mji umekuja kwetu 🙂