baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 6,063
- 12,808
Mmasai Ila based in Tanga, peke yake ndio alikua na studio kubwa hapa Mjini Inaitwa Motika. vijana wengi yeye ndio kawatoa kimuziki.Kumbe Mr Ebo wa Kamongo hakuwa Mmasai !
Mmasai Ila based in Tanga, peke yake ndio alikua na studio kubwa hapa Mjini Inaitwa Motika. vijana wengi yeye ndio kawatoa kimuziki.Kumbe Mr Ebo wa Kamongo hakuwa Mmasai !
Mkuu tuseme umechuma ubao leo.!Sie ndo wajukuu wa Jumbe Tambaza tuliobaki, hatujaja mjini mji umekuja kwetu 🙂
oa weweHivi hapa mnaongelea nini?
Mimi sitaki kuzikwa mkuu.Mkuu tuseme umechuma ubao leo.!
Utazikwa pale muhimbili kwa Kina tambaza bampa 2 bampa, au una mji wako kimanzichana.?
Basi sawaMimi sitaki kuzikwa mkuu.
Kuzikwa ni uharibifu wa mazingira na kuhodhi ardhi kwa vizazi vijavyo.
Yale makaburi yetu ya Tambaza pale Muhimbili ilibidi mengine yafukuliwe patengenezwe barabara ya Maliki kuunganisha Upanga chini huku kupanda kwenda Muhimbili hospitali.
Ndiyo maana yale makaburi kuna ya upande wa msikitini tulipomzika Masha na upande wa shule ya msingi Muhimbili huku kwa kina Abbas Pambe.
Sasa mimi sitaki kuzikwa leo halafu baada ya vizazi watu wakataka kujenga kitu chao, kaburi langu liwe tatizo kwao.
Nimegumiana nao sana pale chaga bite makumbusho miaka ya 2002! Kina jafaraiKipindi hicho Bongo fleva hailipi wasanii ukiwakuta club na virasta vyao ni mwendo wa kugongea bia tu.
Dah!! Umri wa mwanangu wa kike wewe! Ila mnavyotutukana humu,wakati ni baba zenu behind the key board!Mimi nimezaliwa buku mbili , kumbukumbu yangu inaanzia matukio ya 2004 .
Kwa nature ya zamani Ngoma inakaa miaka mingi haisahauliki labda ndio maana nikajikuta bado Iko 🔥 🔥 🔥
Kipindi mdogo sasa Ngoma ambayo ilikuwa habari ya mjini ni ya Juma nature wanaimba "hakuna kulala , cheza kwa mapepe pepe mpaka watu wanakushangaaa ....."
"Tunakatana Mitaa Ya Chaga Bite,,Asubuhi Tunapata Zetu Supu Kwa Chapati...."Nimegumiana nao sana pale chaga bite makumbusho miaka ya 2002! Kina jafarai
Dah! Kitambo sana ,ilikuwa kiwanja changu CHAGA BITE kula michemsho,au pale BREAK POINT kula nyama pori.....miaka imeenda na Age Go! kifo kipo karibu yetu kuliko uhai mrefu Tena ......miongo mitatu ijayo sidhani kama tutakuwepo sisi wa Age Go.... inshallah Mungu atupe umri mrefu tuje kushuhudia CCM ikiwa chama pinzani."Tunakatana Mitaa Ya Chaga Bite,,Asubuhi Tunapata Zetu Supu Kwa Chapati...."
Mike T na TID walitisha sana kwenye vipande walivyoonekana.Zamani ukumbuke MTU akatoa audio Kwanza ikihit ndio video inafuatia, hakuna atakaekudhamini video wakati nyimbo si nzuri.
So ilikua ni promo pia kwa hao wasanii sababu hii nyimbo ilitrend sana, assume msanii husika alisifiwa, maana alio wadiss kama Sugu hawapo kwenye Video.
Nimegumiana nao sana pale chaga bite makumbusho miaka ya 2002! Kina jafarai
Mkuu Mimi nilizaliwa mwaka 1982 sema najichanganya sana na GenZ.we bhana we si gen z mbona unafafanua mambo ya wakubwa umepata wap hizi taarifa?
Mkuu Mimi nilizaliwa mwaka 1982 sema najichanganya sana na GenZ.
Mkuu tunawalaumu sana hawa GenZ, tumesahau kuwa wazazi wa hawa vijana ni sisi wa miaka ya 70 -80s. Kabla ya kuwalaumu vijana wa wa buku mbili tunatakiwa kjilaumu sisi tuliowazaa kwanza kwa kuwalea vibaya.After 1999, God created a very disrespectful set of children
Badala ya kumtaja mh naibu waziri khamis mwinjuma unamtaja Mim mmasai bwana nasema mi mmasai.Watu wengi wa Tanga hawezi kuja dar akawa Hana connection, at that time tayari kuna migration kubwa Sana toka Tanga kuja dar na tayari kuna wasanii wengi wa Tanga wapo peak kina Solo thang, Wagosi wa Kaya, Mr Ebo na wengineo.
Nakumbuka mwaka 2006 nilimuacha demu wangu kisa aliniletea kiburi. Nikawa namsindikiza kwa ule wimbo wa Dully Sykes, eti, "Hunifahamu,sikufahamu dada iweje Leo unipakazie..."Mimi nimezaliwa buku mbili , kumbukumbu yangu inaanzia matukio ya 2004 .
Kwa nature ya zamani Ngoma inakaa miaka mingi haisahauliki labda ndio maana nikajikuta bado Iko 🔥 🔥 🔥
Kipindi mdogo sasa Ngoma ambayo ilikuwa habari ya mjini ni ya Juma nature wanaimba "hakuna kulala , cheza kwa mapepe pepe mpaka watu wanakushangaaa ....."
Mwana FA na Bwana misosi ni age moja kimuziki, wote watoto wa 2000 mwanzoni, hao niliowataja kina Solo na Mr Ebo tayari walikua ma super star wakati Misosi anatoka, ndio maana aliwataja kwenye nyimbo yake.Badala ya kumtaja mh naibu waziri khamis mwinjuma unamtaja Mim mmasai bwana nasema mi mmasai.
wee mzee rudi tu maskaniMinaona miakaile collabo haikua ngumu ka'kiuno cha Mwa J.....