Umesema vyemaHapo unahitaji kuwa na mtu wa kukuunganisha, mtu ambaye Misosi alikuwa naye tayari.
Wale watoto wa Tanga walikuwa wanakuja Dar hawaujui mji tunawaunganisha na ma star w amjini tangu enzi za Rough Niggaz na Steve2K (RIP). Tumewapeleka mpaka studio kwa Marlon Don Bosco na Radio One kwenye ile ahow ya Amina Chifupa nafikiri.
So walikuwa wanatafuta watu wa kuwapa connections za mjini.
Hata Sugu mwenyewe kaingia mjini watu wanamuona wakamuunganisha na Dar Young Mob enzi hizo za Kim Mgomelo anaendesha mashindano ya Yo Rap Bonanza na Villela yupo ITV ana direct videos za muziki.
Yeah kuna ukweli hapa piaPia alikuwa chini ya label ya Bongo Records kwa hiyo ilikuwa rahisi kwa P Funk kuwapata wasanii wote kwenye video moja
Picha zao alichukua kwenye video zao, sio wote waliotokea kwenye video picha zilichukuliwa kwaajili ya ile videoSahihi ila haikuwa rahisi nao upande wa pili walikuwa tayari kumsupport
Kipusa ilitoka kabla ya nitoke vipi, sema haikuwa heat songKati ya matukio ya kisanii ya Bwana Misosi ambayo hatakuja kusahau, akiwa bado mchanga kisanii na ndio ametoa hit song yake ya kwanza "Nitoke Vipi."
Ni love aliyoonyeshwa na wasanii wakubwa wa wakati huo ambao wengi aliwataja kwenye ngoma yake na wakajitokeza kwenye video.
Kwa msanii underground support aliyopata ilikuwa ya hali ya juu sana.
Ni wachache ambao picha na video zilichukuliwa kwa ajili ya video wengi walikuwa pamoja nayePicha zao alichukua kwenye video zao, sio wote waliotokea kwenye video picha zilichukuliwa kwaajili ya ile video
😂😂😂😂😂😂Namnukuu hapa...
"Sugu ni mkongwe ila astaafu kwa heshima wabongo wamemchoka na kimtindo wamemtema, asije sema oooh ikaleta lawama , asije sema oooh ikaleta lawama, mlio kwenye chat....."
Sasa sijui mpaka leo yeye na Sugu nani ashastaafu😀😀
Anyway jimbo lilikua kali na wakati ule walikua wanapeana support sana kama huna bifu...
Aliwapa shavu sana wana....
Mimi mbona wa buku mbili nakumbuka vizuri na hiyo Ngoma kipindi ina hiti nina akili zangu timamu kabisaPoor Brain tafadhari usiguse uzi huu haukuhusu wewe dogo wa buku bee.
Bongo ilikuwa inakuzwa sana , na ukitoja bongo ukienda mkoani vijijini wakijua unetoka bongo basi star wewe KijijiniKitambo sana dsm inatwa bongo kipindi hicho mtu akija bongo ni kam sa iv mtu akiwa USA
Ngoma imetoka 2002Mimi mbona wa buku mbili nakumbuka vizuri na hiyo Ngoma kipindi ina hiti nina akili zangu timamu kabisa
Mimi nimezaliwa buku mbili , kumbukumbu yangu inaanzia matukio ya 2004 .Ngoma imetoka 2002
Zamani ukumbuke MTU akatoa audio Kwanza ikihit ndio video inafuatia, hakuna atakaekudhamini video wakati nyimbo si nzuri.Kati ya matukio ya kisanii ya Bwana Misosi ambayo hatakuja kusahau, akiwa bado mchanga kisanii na ndio ametoa hit song yake ya kwanza "Nitoke Vipi."
Ni love aliyoonyeshwa na wasanii wakubwa wa wakati huo ambao wengi aliwataja kwenye ngoma yake na wakajitokeza kwenye video.
Kwa msanii underground support aliyopata ilikuwa ya hali ya juu sana.
Watu wengi wa Tanga hawezi kuja dar akawa Hana connection, at that time tayari kuna migration kubwa Sana toka Tanga kuja dar na tayari kuna wasanii wengi wa Tanga wapo peak kina Solo thang, Wagosi wa Kaya, Mr Ebo na wengineo.Hapo unahitaji kuwa na mtu wa kukuunganisha, mtu ambaye Misosi alikuwa naye tayari.
Wale watoto wa Tanga walikuwa wanakuja Dar hawaujui mji tunawaunganisha na ma star w amjini tangu enzi za Rough Niggaz na Steve2K (RIP). Tumewapeleka mpaka studio kwa Marlon Don Bosco na Radio One kwenye ile ahow ya Amina Chifupa nafikiri.
So walikuwa wanatafuta watu wa kuwapa connections za mjini.
Hata Sugu mwenyewe kaingia mjini watu wanamuona wakamuunganisha na Dar Young Mob enzi hizo za Kim Mgomelo anaendesha mashindano ya Yo Rap Bonanza na Villela yupo ITV ana direct videos za muziki.
Hit songKipusa ilitoka kabla ya nitoke vipi, sema haikuwa heat song
2003Ngoma imetoka 2002
we bhana we si gen z mbona unafafanua mambo ya wakubwa umepata wap hizi taarifa?Enzi zile watayarishaji (producers) walikuwa na nguvu sana.
Kumbe Mr Ebo wa Kamongo hakuwa Mmasai !Watu wengi wa Tanga hawezi kuja dar akawa Hana connection, at that time tayari kuna migration kubwa Sana toka Tanga kuja dar na tayari kuna wasanii wengi wa Tanga wapo peak kina Solo thang, Wagosi wa Kaya, Mr Ebo na wengineo.