Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,593
- 46,759
Niliemtaja ni wa 2006Mimi mbona wa buku mbili nakumbuka vizuri na hiyo Ngoma kipindi ina hiti nina akili zangu timamu kabisa
Niliemtaja ni wa 2006Mimi mbona wa buku mbili nakumbuka vizuri na hiyo Ngoma kipindi ina hiti nina akili zangu timamu kabisa
😂😂😂😂😂 Unajua kwa sasa nipo wapi...
Misosi ametoa Nitoke Vipi alikuwa tayari ana jina ,wimbo wake uliomtoa ni KIPUSA na hata moja ya verse kwenye huo wimbo amesema hivi "Soggy pacha wamchanganya ,jay mo mvua na jua ,misosi nitoke vipi na KIPUSA nimewagongea? Dully mr misifa mwanasesele ikamtoa ,nini mnataka mazee Piggy Black akatoboa".Kati ya matukio ya kisanii ya Bwana Misosi ambayo hatakuja kusahau, akiwa bado mchanga kisanii na ndio ametoa hit song yake ya kwanza "Nitoke Vipi."
Kipindi cha chemsha bongo cha Misanya Bingi kilikuwa cha muda mrefu zaidi. Kipusa haikuwa hit songMisosi ametoa Nitoke Vipi alikuwa tayari ana jina ,wimbo wake uliomtoa ni KIPUSA na hata moja ya verse kwenye huo wimbo amesema hivi "Soggy pacha wamchanganya ,jay mo mvua na jua ,misosi nitoke vipi na KIPUSA nimewagongea? Dully mr misifa mwanasesele ikamtoa ,nini mnataka mazee Piggy Black akatoboa".
Hapo anaposema KIPUSA nimewagongea ni wimbo wake unaitwa KIPUSA na ndipo Late Misanya Bingi akaanzisha kipindi radio One kinaitwa KIPUSA unaulizwa swali ukikosa unapigiwa Kengele ,hiyo idea aliitoa kwenye wimbo wa Bwana Misosi.
Duuh Mimi Bwana Misosi nimemjulia kwenye KIPUSA........Chemsha Bongo(KIPUSA) wamedesa kwa Bwana Misosi.Kipindi cha chemsha bongo cha Misanya Bingi kilikuwa cha muda mrefu zaidi. Kipusa haikuwa hit song