khamis kilo
JF-Expert Member
- May 23, 2016
- 1,224
- 1,548
Nimepotea njia ya kurudi nyumbani kijana wangu....๐ปwee mzee rudi tu maskani
Nakusahihisha Solo thang ni mzaramo wa hapa hapa DsmWatu wengi wa Tanga hawezi kuja dar akawa Hana connection, at that time tayari kuna migration kubwa Sana toka Tanga kuja dar na tayari kuna wasanii wengi wa Tanga wapo peak kina Solo thang, Wagosi wa Kaya, Mr Ebo na wengineo.
Noma sanaSie ndo wajukuu wa Jumbe Tambaza tuliobaki, hatujaja mjini mji umekuja kwetu ๐
Nilikua secondary ya upili, yaani kwa Sasa mviiii zinakuja kwa kasii sanaa mpaka nimeamua kua KAMA NDUGU MUHESHIMIWA KASSIM MAJALIWA.Nakumbuka mwaka 2006 nilimuacha demu wangu kisa aliniletea kiburi. Nikawa namsindikiza kwa ule wimbo wa Dully Sykes, eti, "Hunifahamu,sikufahamu dada iweje Leo unipakazie..."
Dr am 4 real PhD ulikuwa wapi kipindi kile?
Kijana wangu wa kwanza yupo darasa la saba mwaka huu.Mkuu tunawalaumu sana hawa GenZ, tumesahau kuwa wazazi wa hawa vijana ni sisi wa miaka ya 70 -80s. Kabla ya kuwalaumu vijana wa wa buku mbili tunatakiwa kjilaumu sisi tuliowazaa kwanza kwa kuwalea vibaya.
Cc Dr am 4 real PhD.
Kitambo kaka!Ndio, Jafarai alikuwa hatulii na virasta vyake kipindi hiyo na wimbo wake Nipo Busy. Kila siku lazima aje kudundika mitaa ya kati, sijui daladala za Mwenge alikuwa anapanda bure
Wewe siyo wa buku bee.Mimi mbona wa buku mbili nakumbuka vizuri na hiyo Ngoma kipindi ina hiti nina akili zangu timamu kabisa
Namnukuu hapa...
"Sugu ni mkongwe ila astaafu kwa heshima wabongo wamemchoka na kimtindo wamemtema, asije sema oooh ikaleta lawama , asije sema oooh ikaleta lawama, mlio kwenye chat....."
Sasa sijui mpaka leo yeye na Sugu nani ashastaafu๐๐
Anyway jimbo lilikua kali na wakati ule walikua wanapeana support sana kama huna bifu...
Aliwapa shavu sana wana....qnammm
Mzee TAMBAZA na Kijiji chake pale Pembeni ga DON BOSCO.Sie ndo wajukuu wa Jumbe Tambaza tuliobaki, hatujaja mjini mji umekuja kwetu ๐
Nitahakiki vyanzo vyangu, naweza kuwa nimekosea.Nakusahihisha Solo thang ni mzaramo wa hapa hapa Dsm
Halafu ukawa chawa! ๐นHuo wimbo umenikumbusha nikiwa shule O - level nilikuwa nina urafiki na kakikundi fulani cha kihuni nikaponea chupuchupu kupewa suspension.. karibu kundi zima lilipata suspension. Bahati nzuri wote tulienda form five hadi chuo. Kwa sasa tukikutana tunakumbushia tu upuuzi tuliokuwa nao ๐
Siwezi kukulazimisha uamini nilichoandika ila ninachojua tukikutana uso kwa uso hutaweza kunitamkia maneno unayoandika.Halafu ukawa chawa! ๐น
Uchawa kitambo mpaka kwa wahuni ulikuwa mbeba mabegi ya wenzio na kuwaandikia notes ๐คฃ๐น๐น
Unafanana na wasira? ๐นSiwezi kukulazimisha uamini nilichoandika ila ninachojua tukikutana uso kwa uso hutaweza kunitamkia maneno unayoandika.
Mimi nisimjue bwana misosu kweli...Poor Brain tafadhari usiguse uzi huu haukuhusu wewe dogo wa buku bee.
Noma sana mkuu. Sijui kipindi kile mdogo wetu Monetary doctor alikuwa wapi, labda tumboni mwa mamaye.Nilikua secondary ya upili, yaani kwa Sasa mviiii zinakuja kwa kasii sanaa mpaka nimeamua kua KAMA NDUGU MUHESHIMIWA KASSIM MAJALIWA.
Ni mwendo wa kupakaa black KICHWANI.
Hongera sana mkuu.Kijana wangu wa kwanza yupo darasa la saba mwaka huu.
Mimi nisimjue bwana misosu kweli...
Aaaah mkuu niwie radhi..
Mkuu mi sio wa 2000. Alafu kina ant nimekutafutia mkuu sijui mtawezana ila itajulikana hapo hapo badae natuma namba zake