Bwana wangu anaendesha bodaboda, nifanyaje?

Ulisoma ili uwe mtumwa?!
What's with the formula?!
Ndio maana serikali sahivi inatoa mikopo Kwa watu waliopata division 1 Tu, wanaoweza kufikiri maisha baada ya shule
Kha!
Hambebeki watz jamaa
You think life is like math calculations like when you take 1 plus 1 you get 2?Just remember,there is no one to one relationship between what you get in school and life
 
You think life is like math calculations like when you take 1 plus 1 you get 2?Just remember,there is no one to one relationship between what you get in school and life
Basi usingesoma ujue
Kwani ulisoma ukaajiriwe au ukajiajiri??
Na mkopo unarudishaje sasa
 
Basi usingesoma ujue
Kwani ulisoma ukaajiriwe au ukajiajiri??
Na mkopo unarudishaje sasa
Sio kila msomi kasomeshwa kwa mkopo(tuweke hili sawa kwanza)

Hakuna uhusiano wowote kati ya kusoma na kuajiriwa au kujiajiri(Elimu hipo kwa lengo la kuamsha na kumjenga mwanadamu kuyatawala mazingira yake)
 
Embu jistretch akili yako basi

Nikuulize?! Ivi huyu jamaa alisoma degree kwa mkopo WA serikali ili aje aendeshe bodaboda au aajiri watu awe meneja WA kampuni yake??
Woi 🚶🚶
Sijui watoto mtakua lini?!

Mbona unaumia na habari unadai haikuhiswu!!! Wewe ndio mtoto unayeumia na habari na kucheka watu. Kua
 
Mbona unaumia na habari unadai haikuhiswu!!! Wewe ndio mtoto unayeumia na habari na kucheka watu. Kua
 
Msindikize uwe konda wake mkipata abiria mnakula mshkaki,
Saa ingine unamsaidia kupia gia misele.
Shida iko wapi
 
Yaani yeye hana ajira alafu anamkataa mwenye kuendesha boda boda?

Amini nawaambia nilikua mmoja kati ya wanao wadharau boda boda, lakini hawa jamaa wanaingiza hela nyingi sana. Kwa siku boda boda anaweza laza mpaka 50k......

Kikubwa ni nidhamu ya pesa tu. Maana hawa jamaa wana matumizi ya hovyo kwakua wanafahamu muda wowote wanapata hela..

Mimi nataka niingie huko hivi karibuni maana nimeagiza mpya kwaajili ya shughuri zangu za kuku. Kwahiyo nikishamaliza kuhudumia kuku, nitakua naingia barabarani kuokoka maokoto ya kupunguza gharama za maisha
 
Msindikize uwe konda wake mkipata abiria mnakula mshkaki,
Saa ingine unamsaidia kupia gia misele.
Shida iko wapi
 
Kwanini amejiajiri Huyo mwenye degree na asiajiri wengine
 
Hatua ya kwanza ni kujiajiri kama alivyofanya. Endapo ana malengo, basi atapata mtaji wa kufungua kitu ambacho kitatoa ajira kwa wengine.

Kikubwa ni yeye kuwa na malengo tu
 
Hatua ya kwanza ni kujiajiri kama alivyofanya. Endapo ana malengo, basi atapata mtaji wa kufungua kitu ambacho kitatoa ajira kwa wengine.

Kikubwa ni yeye kuwa na malengo tu
Aminaaa
 
Mzee zomboko alisema kula chuma iko sema ajari kazini ridhiki ya mtu iko miguuni mwa kila mtu sasa wewe sema umependa degree yake au huwezi kueshimu kazi anayoifanya ili kuwafanya kusogeza Maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…