Dumuzii
JF-Expert Member
- Jan 4, 2019
- 3,593
- 8,595
Kwani baba yake binti anayo hayo .....?Ila mpaka anunue bajaj, aingie Passo mpaka ford ranger
Nahisi Yesu atakuwa amesharudi asee
Kwani haya maisha yamekuwaje jaman
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani baba yake binti anayo hayo .....?Ila mpaka anunue bajaj, aingie Passo mpaka ford ranger
Nahisi Yesu atakuwa amesharudi asee
Kwani haya maisha yamekuwaje jaman
Hii English mbona siielewi
WAnawake bana yeye miaka mitano ameingiza zero amount, mwenzake kajiongeza hata akipata elfu 10 kwa siku ni hatua , alafu panapo upendo WA kweli Mungu hufunua baraka.
Ina maana sisi sio wanaume au? Vipi huyo mwenzako hakuwaona pia ambao sio bodaboda?Najaf Seth saint mmesikia mwanaume ameongea hapo Kwa comment
Wanaume nawajua Tu, you guys are only humble mkiwa hamna hela ngoja mzinyake
Me nadhani njoo soma huu UziIna maana sisi sio wanaume au? Vipi huyo mwenzako hakuwaona pia ambao sio bodaboda?
Wewe unaejua njoo soma huu UziHawajuagi nini wanataka hao
AnayoKwani baba yake binti anayo hayo .....?
Kwani baba yake binti anayo hayo .....?
Jamani, si bachela huyo?🤣
Au Bachelor ina maana gani Money Minie?😀😀
sa si tutajuaje?Sasa ulitaka niwaandikie wanawake Kwan mimi lesbian?
Dear Money Penny
YAH: BWANA WANGU ANAENDESHA BODABODA
Mimi NI binti ambae sikuwahi kuwa kwenye mahusiano nikiwa chuoni.
Nilikuwa busy na masomo na ibada za casfeta.
Mapenzi yangu yalikuwa Kwa Yesu.
Baada ya kumaliza masomo sikupata KAZI, nikasota benchi Kwa Miaka 5, wenzangu nilisoma NAO walishaolewa na kuzaa na KAZI wanazo.
Nimevumilia lakini dadangu akaniambia tafuta bwana angalau uzae UMRI unaenda.
Siku Niko kwenye fellowship nikakutana na Kaka mmoja mlokole mwenzangu, nae NI graduate lakini Hana ajira
Amenunua bodaboda Kwa mkopo WA kampuni ya "WATU" pale Tegeta ndio anafanya nayo biashara apate kipato
Lakini ni mwaminifu, ananipenda mno na KAOKOKA,
Hatujawahi zini, Ila naogopa Sana kuolewa nae, maana kipato chake NI bodaboda Tu naona aibu mpaka aje kununua gari haya maisha yatakuwaje?
Kweli money penny bwana wangu anaendesha bodaboda lakini naona aibu kumtambulisha kwetu, ananipenda Sana nifanyaje??
Wako
Eliza."
Jamaa. Eliza anaomba msaada huku
View attachment 2724672
Big NO kubadilika ni hulka ya mtu alafu pia lengo la muhusika litachangia kama ana lengo la kumtumia na kupita akipata hela lazima ataenda na hata kabla ya kupata hela anaweza badlika pia ila kama ana lengo la kuwa nae regardless atakuwa nae BTW haya mambo hayanaga formula bora tu nitafute hela nikimpata wakuwa nae asijesema nilivyopata hela nkabadilika akute nshabadilika 😀Cr wa familia huyu ndio kaongea ukweli
Wengine mnatupaka blueband ili tukaumwe pumu
Nimeweka sijaweka ukweli utabaki kuwa ukweli
Hamna dharau na watu wananiomba msaada WA mawazo
Mbona Ile ya mshahara WA laki 2 hauku comment
Au hapo hamna dharau sababu ya laki 2?
Huyu ndio kaongea ukweli WA wanaume wote cocochanel
Wengine wooooote mnatupaka blueband tukaumwe pumu in the name of dharau
Hiyo boda boda ni ofisi yake.Dear Money Penny