Bwana wangu anaendesha bodaboda, nifanyaje?

WAnawake bana yeye miaka mitano ameingiza zero amount, mwenzake kajiongeza hata akipata elfu 10 kwa siku ni hatua , alafu panapo upendo WA kweli Mungu hufunua baraka.
 
Afadhali huyo boda boda ,mke wangu tukipatana alikuwa pisi Moja matata Sana kwa kweli na alinipata chuo naosha nguo kwa kando ,Yaani dobi ,Kama angenionea aibu Leo hii nimetusua angekuwa na Mimi.
Nakumbuka nikimpeleka outing ubungo na Hela hizo za dobi Ila alivumilia[emoji23][emoji23][emoji23] ,wala hakunionea aibu ,Leo hii ata mali nliyonayo anajua ni ye2 .
Tafuta jamaa anakaa ana bidii na future ,zaidi mpende ,mengine ya watu wataona nini yasikutishe dada.
Mbona familia Yao leo wao ndo wanatutafuta wakiwa na shida ,kesho karata ni tofauti
Shida sio kesho, shida NI wanaume mkizinyaka mnakuwa malimbukeni
 
WAnawake bana yeye miaka mitano ameingiza zero amount, mwenzake kajiongeza hata akipata elfu 10 kwa siku ni hatua , alafu panapo upendo WA kweli Mungu hufunua baraka.
Huo upendo utayeyuka Huyo bwana akishika milion 2
 
Usiolewe naye, atakusumbua sana, tabia ya mwanaume akiwa hana hela sio asili, akizipata anaweza kuwa mnyama. Ila kama wataka kuzaa na mda umefika, sawa, ila hakuna mume boda boda, mke degree, nasema wazi bila kuzungusha maneno.
Najaf Seth saint mmesikia mwanaume ameongea hapo Kwa comment
Wanaume nawajua Tu, you guys are only humble mkiwa hamna hela ngoja mzinyake
 
Mie Namshukuru Mola... Kwa kuyakuta mema pia... Ila........
Sipendi watu wanaodharau wengine kwa sababu mbalimbaki ikiwemo hili umeweka hapa..

Hakuna ajuaye kesho...
Nimeweka sijaweka ukweli utabaki kuwa ukweli
Hamna dharau na watu wananiomba msaada WA mawazo
Mbona Ile ya mshahara WA laki 2 hauku comment
Au hapo hamna dharau sababu ya laki 2?
 
Kwahyo unatuandikia ili tukushughulikie? Na vistory vyako vya kuokoteza.
Vya kuokoteza lakini ndio uko hapa Una comment sio??😂😂😂😂
Kweli Una shida
Nenda redioni ka comment basi mbona uko huku kwenye maokoto??
 
Usiolewe naye, atakusumbua sana, tabia ya mwanaume akiwa hana hela sio asili, akizipata anaweza kuwa mnyama. Ila kama wataka kuzaa na mda umefika, sawa, ila hakuna mume boda boda, mke degree, nasema wazi bila kuzungusha maneno.
Cr wa familia huyu ndio kaongea ukweli
Wengine mnatupaka blueband ili tukaumwe pumu
 
Dear Money Penny

YAH: BWANA WANGU ANAENDESHA BODABODA
Mimi NI binti ambae sikuwahi kuwa kwenye mahusiano nikiwa chuoni.

Nilikuwa busy na masomo na ibada za casfeta.

Mapenzi yangu yalikuwa Kwa Yesu.

Baada ya kumaliza masomo sikupata KAZI, nikasota benchi Kwa Miaka 5, wenzangu nilisoma NAO walishaolewa na kuzaa na KAZI wanazo.

Nimevumilia lakini dadangu akaniambia tafuta bwana angalau uzae UMRI unaenda.

Siku Niko kwenye fellowship nikakutana na Kaka mmoja mlokole mwenzangu, nae NI graduate lakini Hana ajira
Amenunua bodaboda Kwa mkopo WA kampuni ya "WATU" pale Tegeta ndio anafanya nayo biashara apate kipato

Lakini ni mwaminifu, ananipenda mno na KAOKOKA,

Hatujawahi zini, Ila naogopa Sana kuolewa nae, maana kipato chake NI bodaboda Tu naona aibu mpaka aje kununua gari haya maisha yatakuwaje?

Kweli money penny bwana wangu anaendesha bodaboda lakini naona aibu kumtambulisha kwetu, ananipenda Sana nifanyaje??

Wako
Eliza."

Jamaa. Eliza anaomba msaada huku

View attachment 2724672
Stupid,wewe una kitu gani cha kumpa?,umetoka chuo una miaka 5 huna kazi,yeye graduate kajiongeza haombi hela ya kula wala ya kodi,hapa ukiangalia nani anatakiwa kumkimbia mwenzake?

Na kwanini una hamisha mapenzi kwa Yesu unataka ya boda boda?,si ubaki huko huko uwe 'NUN'.

Kama wewe huna usimshangae mwenzako ambae nae hana.

Leo boda boda,je wajua kesho atakua nani?
Huyo mwenye kipato unaomtaka umtambulishe,je una hakika kipato chake kitakua hivyo hivyo milele?

Labda ulikua chuo kushona,

Shinda kwenye makanisa ya turubai utaishia kuzaa na mwizi wa sadaka

HUJITAMBUI.
 
Usiolewe naye, atakusumbua sana, tabia ya mwanaume akiwa hana hela sio asili, akizipata anaweza kuwa mnyama. Ila kama wataka kuzaa na mda umefika, sawa, ila hakuna mume boda boda, mke degree, nasema wazi bila kuzungusha maneno.
Huyu ndio kaongea ukweli WA wanaume wote cocochanel
Wengine wooooote mnatupaka blueband tukaumwe pumu in the name of dharau
 
Stupid,wewe una kitu gani cha kumpa?,umetoka chuo una miaka 5 huna kazi,yeye graduate kajiongeza haombi hela ya kula wala ya kodi,hapa ukiangalia nani anatakiwa kumkimbia mwenzake?

Na kwanini una hamisha mapenzi kwa Yesu unataka ya boda boda?,si ubaki huko huko uwe 'NUN'.

Kama wewe huna usimshangae mwenzako ambae nae hana.

Leo boda boda,je wajua kesho atakua nani?
Huyo mwenye kipato unaomtaka umtambulishe,je una hakika kipato chake kitakua hivyo hivyo milele?

Labda ulikua chuo kushona,

Shinda kwenye makanisa ya turubai utaishia kuzaa na mwizi wa sadaka

HUJITAMBUI.
Bro ulikuja kutukasirikia au unaendesha bodaboda na wewe?
 
Dear Money Penny

YAH: BWANA WANGU ANAENDESHA BODABODA
Mimi NI binti ambae sikuwahi kuwa kwenye mahusiano nikiwa chuoni.

Nilikuwa busy na masomo na ibada za casfeta.

Mapenzi yangu yalikuwa Kwa Yesu.

Baada ya kumaliza masomo sikupata KAZI, nikasota benchi Kwa Miaka 5, wenzangu nilisoma NAO walishaolewa na kuzaa na KAZI wanazo.

Nimevumilia lakini dadangu akaniambia tafuta bwana angalau uzae UMRI unaenda.

Siku Niko kwenye fellowship nikakutana na Kaka mmoja mlokole mwenzangu, nae NI graduate lakini Hana ajira
Amenunua bodaboda Kwa mkopo WA kampuni ya "WATU" pale Tegeta ndio anafanya nayo biashara apate kipato

Lakini ni mwaminifu, ananipenda mno na KAOKOKA,

Hatujawahi zini, Ila naogopa Sana kuolewa nae, maana kipato chake NI bodaboda Tu naona aibu mpaka aje kununua gari haya maisha yatakuwaje?

Kweli money penny bwana wangu anaendesha bodaboda lakini naona aibu kumtambulisha kwetu, ananipenda Sana nifanyaje??

Wako
Eliza."

Jamaa. Eliza anaomba msaada huku

View attachment 2724672
Kiufupi huyo shori anasaka bwana mwenye pesa.

Mpatie dronedrake mkaanga vyuma labda atambadilisha msimamo waoane🤣
 
Back
Top Bottom