Bwana wangu anaendesha bodaboda, nifanyaje?

Bwana wangu anaendesha bodaboda, nifanyaje?

because you ladies are always selfish,,we stop judgementing you only you become unselfish!!!!!
did you ask your friend why should not take chances of her life with this man instead of thinking big achievement for this period of life??
 
Afadhali huyo boda boda ,mke wangu tukipatana alikuwa pisi Moja matata Sana kwa kweli na alinipata chuo naosha nguo kwa kando ,Yaani dobi ,Kama angenionea aibu Leo hii nimetusua angekuwa na Mimi.
Nakumbuka nikimpeleka outing ubungo na Hela hizo za dobi Ila alivumilia[emoji23][emoji23][emoji23] ,wala hakunionea aibu ,Leo hii ata mali nliyonayo anajua ni ye2 .
Tafuta jamaa anakaa ana bidii na future ,zaidi mpende ,mengine ya watu wataona nini yasikutishe dada.
Mbona familia Yao leo wao ndo wanatutafuta wakiwa na shida ,kesho karata ni tofauti
 
Dear Money Penny

YAH: BWANA WANGU ANAENDESHA BODABODA
Mimi NI binti ambae sikuwahi kuwa kwenye mahusiano nikiwa chuoni.

Nilikuwa busy na masomo na ibada za casfeta.

Mapenzi yangu yalikuwa Kwa Yesu.

Baada ya kumaliza masomo sikupata KAZI, nikasota benchi Kwa Miaka 5, wenzangu nilisoma NAO walishaolewa na kuzaa na KAZI wanazo.

Nimevumilia lakini dadangu akaniambia tafuta bwana angalau uzae UMRI unaenda.

Siku Niko kwenye fellowship nikakutana na Kaka mmoja mlokole mwenzangu, nae NI graduate lakini Hana ajira
Amenunua bodaboda Kwa mkopo WA kampuni ya "WATU" pale Tegeta ndio anafanya nayo biashara apate kipato

Lakini ni mwaminifu, ananipenda mno na KAOKOKA,

Hatujawahi zini, Ila naogopa Sana kuolewa nae, maana kipato chake NI bodaboda Tu naona aibu mpaka aje kununua gari haya maisha yatakuwaje?

Kweli money penny bwana wangu anaendesha bodaboda lakini naona aibu kumtambulisha kwetu, ananipenda Sana nifanyaje??

Wako
Eliza."

Jamaa. Eliza anaomba msaada huku

View attachment 2724672

Usiolewe naye, atakusumbua sana, tabia ya mwanaume akiwa hana hela sio asili, akizipata anaweza kuwa mnyama. Ila kama wataka kuzaa na mda umefika, sawa, ila hakuna mume boda boda, mke degree, nasema wazi bila kuzungusha maneno.
 
Hizi standard mnazo jiwekeaga za ki Fuc...k zita waoa zenyewe.

Yaani una underated kipato cha mpambanaji wa kweli. Na wewe kujiweka kuwa wa thamani sana,umemkubali wa nini sasa kama unaona hakufai ni kapuku,

Yeye ana endesha boda walau ana daka hizo buku buku wewe una muofa nini kama sio hiyo K tu, [emoji36] mabinti wa leo hopeless kabisa [emoji706]

Haya endelea kukaa hapo home, refa atakapo puliza filimbi ya mwisho utazalishwa hapo hapo home tena kwa kuhangaika sana kujitegesha. (Tuna uza barafu) zamani ilikua geti kali ( kuna mbwa wakali)
 
Dear Money Penny

YAH: BWANA WANGU ANAENDESHA BODABODA
Mimi NI binti ambae sikuwahi kuwa kwenye mahusiano nikiwa chuoni.

Nilikuwa busy na masomo na ibada za casfeta.

Mapenzi yangu yalikuwa Kwa Yesu.

Baada ya kumaliza masomo sikupata KAZI, nikasota benchi Kwa Miaka 5, wenzangu nilisoma NAO walishaolewa na kuzaa na KAZI wanazo.

Nimevumilia lakini dadangu akaniambia tafuta bwana angalau uzae UMRI unaenda.

Siku Niko kwenye fellowship nikakutana na Kaka mmoja mlokole mwenzangu, nae NI graduate lakini Hana ajira
Amenunua bodaboda Kwa mkopo WA kampuni ya "WATU" pale Tegeta ndio anafanya nayo biashara apate kipato

Lakini ni mwaminifu, ananipenda mno na KAOKOKA,

Hatujawahi zini, Ila naogopa Sana kuolewa nae, maana kipato chake NI bodaboda Tu naona aibu mpaka aje kununua gari haya maisha yatakuwaje?

Kweli money penny bwana wangu anaendesha bodaboda lakini naona aibu kumtambulisha kwetu, ananipenda Sana nifanyaje??

Wako
Eliza."

Jamaa. Eliza anaomba msaada huku

View attachment 2724672

Si ushukuru kwamba anaendesha bodaboda angekuwa anaendesha kichwa chako ingekuwaje
 
did you ask your friend why should not take chances of her life with this man instead of thinking big achievement for this period of life??
Hii English mbona siielewi
 
Back
Top Bottom