Bwana wangu anaendesha bodaboda, nifanyaje?

Bwana wangu anaendesha bodaboda, nifanyaje?

Analalamika huku anajua ana Bodaboda.. watu wengine wanashangaza sana.. amuache asimpotezee muda apate mwanamke mwingine..

Tabu kutokuwa na akili na maarifa na kusoma kote.. ndio muhusika.. shame
Dada mbona kama umechukulia personal??
Uko na bwana Bodaboda au ana degree Hana ajira?
 
Kwanini anamuita bwana wake wakati bado hawajaoana wala jamaa bado hajapewa mbususu? Hawa bado wako katika kipindi cha uchumba.Hata hivyo kama wanapendana haina shida kuoana hata kama mwanaume ni mwendesha bodaboda wakioana maisha yatawanyookea mbele ya safari
Weee!
Me namjua bodaboda anaendesha hapa mtaani waka WA 8 sasa🚶🚶🚶
Mnyooko huo vepe?!
 
Olewa na mpenzi wako yule anaepata basic salary 500k kabla ya makato au subr had utakapompata huyo unaemtaka mwenye uwezo wa kununua gari
Si mpaka WA laki 5 ampende?!🚶🚶🚶
Shida kupendwa baaab
 
Dear Money Penny

YAH: BWANA WANGU ANAENDESHA BODABODA
Mimi NI binti ambae sikuwahi kuwa kwenye mahusiano nikiwa chuoni.

Nilikuwa busy na masomo na ibada za casfeta.

Mapenzi yangu yalikuwa Kwa Yesu.

Baada ya kumaliza masomo sikupata KAZI, nikasota benchi Kwa Miaka 5, wenzangu nilisoma NAO walishaolewa na kuzaa na KAZI wanazo.

Nimevumilia lakini dadangu akaniambia tafuta bwana angalau uzae UMRI unaenda.

Siku Niko kwenye fellowship nikakutana na Kaka mmoja mlokole mwenzangu, nae NI graduate lakini Hana ajira
Amenunua bodaboda Kwa mkopo WA kampuni ya "WATU" pale Tegeta ndio anafanya nayo biashara apate kipato

Lakini ni mwaminifu, ananipenda mno na KAOKOKA,

Hatujawahi zini, Ila naogopa Sana kuolewa nae, maana kipato chake NI bodaboda Tu naona aibu mpaka aje kununua gari haya maisha yatakuwaje?

Kweli money penny bwana wangu anaendesha bodaboda lakini naona aibu kumtambulisha kwetu, ananipenda Sana nifanyaje??

Wako
Eliza."

Jamaa. Eliza anaomba msaada huku

View attachment 2724672
Kama ana bodaboda mbona yupo njema sana huyo!! Kumbuka alizaliwa bila ya nguo. So, anachokipambania kipo hapa duniani na maadam anakitafuta atakipata tu.
Kikubwa wewe pia upambane, siyo unakwenda kujitegesha kama Kitengwe Maulid.
 
Kama ana bodaboda mbona yupo njema sana huyo!! Kumbuka alizaliwa bika ya nguo. So, anachokipambania kipo hapa duniani na maadam anakitafuta atakipata tu.
Kikubwa wewe pia upambane, siyo unakwenda kujitegesha kama Kitengwe Maulid.
Bro, unaendesha bodaboda au?! 😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dear Money Penny

YAH: BWANA WANGU ANAENDESHA BODABODA
Mimi NI binti ambae sikuwahi kuwa kwenye mahusiano nikiwa chuoni.

Nilikuwa busy na masomo na ibada za casfeta.

Mapenzi yangu yalikuwa Kwa Yesu.

Baada ya kumaliza masomo sikupata KAZI, nikasota benchi Kwa Miaka 5, wenzangu nilisoma NAO walishaolewa na kuzaa na KAZI wanazo.

Nimevumilia lakini dadangu akaniambia tafuta bwana angalau uzae UMRI unaenda.

Siku Niko kwenye fellowship nikakutana na Kaka mmoja mlokole mwenzangu, nae NI graduate lakini Hana ajira
Amenunua bodaboda Kwa mkopo WA kampuni ya "WATU" pale Tegeta ndio anafanya nayo biashara apate kipato

Lakini ni mwaminifu, ananipenda mno na KAOKOKA,

Hatujawahi zini, Ila naogopa Sana kuolewa nae, maana kipato chake NI bodaboda Tu naona aibu mpaka aje kununua gari haya maisha yatakuwaje?

Kweli money penny bwana wangu anaendesha bodaboda lakini naona aibu kumtambulisha kwetu, ananipenda Sana nifanyaje??

Wako
Eliza."

Jamaa. Eliza anaomba msaada huku

View attachment 2724672
Mwambie huyo bwana ake ni Afisa safirishaji! Na siyo mwendesha bodaboda. Lakini pia atembee kifua mbele. Halafu umwambie bodaboda kwa siku analaza mpaka elfu 60! Kwa hiyo 60,000×30=1,800,000!

Tena nasikia hao bodaboda eti wana maisha mazuri kuliko hata walimu wenye elimu ya chuo kikuu! Na haya siyo maneno yangu. Ni maneno ya baadhi ya watu humu jukwaani.
 
Mwambie huyo bwana ake ni Afisa safirishaji! Na siyo mwendesha bodaboda. Lakini pia atembee kifua mbele.

Maana nasikia hao bodaboda eti wana maisha mazuri kuliko hata mwalimu mwenye elimu ya chuo kikuu! Na haya siyo maneno yangu. Ni maneno ya baadhi ya watu humu jukwaani.
Walete ushahidi iKIWA na wewe
Huenda wanaotetea NI waendesha bodaboda wamenununa simu ya smart wakaskia jamii forum wakajiunga
Mbona house girls wengi wako Facebook ila Instagram hawapo??
Tafakari
 
Back
Top Bottom