Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
- #121
Maisha ya sSa ukijisahau shetani anakupangia cha kufanyaKwani hatupo Africa money ,akauze Bora sio uchi au wizi
Usipoomba wachawi wanakuaibisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maisha ya sSa ukijisahau shetani anakupangia cha kufanyaKwani hatupo Africa money ,akauze Bora sio uchi au wizi
Shida sio kesho, shida NI wanaume mkizinyaka mnakuwa malimbukeniAfadhali huyo boda boda ,mke wangu tukipatana alikuwa pisi Moja matata Sana kwa kweli na alinipata chuo naosha nguo kwa kando ,Yaani dobi ,Kama angenionea aibu Leo hii nimetusua angekuwa na Mimi.
Nakumbuka nikimpeleka outing ubungo na Hela hizo za dobi Ila alivumilia[emoji23][emoji23][emoji23] ,wala hakunionea aibu ,Leo hii ata mali nliyonayo anajua ni ye2 .
Tafuta jamaa anakaa ana bidii na future ,zaidi mpende ,mengine ya watu wataona nini yasikutishe dada.
Mbona familia Yao leo wao ndo wanatutafuta wakiwa na shida ,kesho karata ni tofauti
Huo upendo utayeyuka Huyo bwana akishika milion 2WAnawake bana yeye miaka mitano ameingiza zero amount, mwenzake kajiongeza hata akipata elfu 10 kwa siku ni hatua , alafu panapo upendo WA kweli Mungu hufunua baraka.
Sio Kwa graduate lakiniAtaitwa msimbe soon mwambie apige chini michakato ya standards zisizo na umuhimu kwani boda bado mbona nayo kazi tu
Najaf Seth saint mmesikia mwanaume ameongea hapo Kwa commentUsiolewe naye, atakusumbua sana, tabia ya mwanaume akiwa hana hela sio asili, akizipata anaweza kuwa mnyama. Ila kama wataka kuzaa na mda umefika, sawa, ila hakuna mume boda boda, mke degree, nasema wazi bila kuzungusha maneno.
Nimeweka sijaweka ukweli utabaki kuwa ukweliMie Namshukuru Mola... Kwa kuyakuta mema pia... Ila........
Sipendi watu wanaodharau wengine kwa sababu mbalimbaki ikiwemo hili umeweka hapa..
Hakuna ajuaye kesho...
Kwahyo unatuandikia ili tukushughulikie? Na vistory vyako vya kuokoteza.Na wewe kutwa money penny
Case closed
Sasa ulitaka niwaandikie wanawake Kwan mimi lesbian?
NDIO Ukweli tuuseme
Vya kuokoteza lakini ndio uko hapa Una comment sio??😂😂😂😂Kwahyo unatuandikia ili tukushughulikie? Na vistory vyako vya kuokoteza.
Cr wa familia huyu ndio kaongea ukweliUsiolewe naye, atakusumbua sana, tabia ya mwanaume akiwa hana hela sio asili, akizipata anaweza kuwa mnyama. Ila kama wataka kuzaa na mda umefika, sawa, ila hakuna mume boda boda, mke degree, nasema wazi bila kuzungusha maneno.
Stupid,wewe una kitu gani cha kumpa?,umetoka chuo una miaka 5 huna kazi,yeye graduate kajiongeza haombi hela ya kula wala ya kodi,hapa ukiangalia nani anatakiwa kumkimbia mwenzake?Dear Money Penny
YAH: BWANA WANGU ANAENDESHA BODABODA
Mimi NI binti ambae sikuwahi kuwa kwenye mahusiano nikiwa chuoni.
Nilikuwa busy na masomo na ibada za casfeta.
Mapenzi yangu yalikuwa Kwa Yesu.
Baada ya kumaliza masomo sikupata KAZI, nikasota benchi Kwa Miaka 5, wenzangu nilisoma NAO walishaolewa na kuzaa na KAZI wanazo.
Nimevumilia lakini dadangu akaniambia tafuta bwana angalau uzae UMRI unaenda.
Siku Niko kwenye fellowship nikakutana na Kaka mmoja mlokole mwenzangu, nae NI graduate lakini Hana ajira
Amenunua bodaboda Kwa mkopo WA kampuni ya "WATU" pale Tegeta ndio anafanya nayo biashara apate kipato
Lakini ni mwaminifu, ananipenda mno na KAOKOKA,
Hatujawahi zini, Ila naogopa Sana kuolewa nae, maana kipato chake NI bodaboda Tu naona aibu mpaka aje kununua gari haya maisha yatakuwaje?
Kweli money penny bwana wangu anaendesha bodaboda lakini naona aibu kumtambulisha kwetu, ananipenda Sana nifanyaje??
Wako
Eliza."
Jamaa. Eliza anaomba msaada huku
View attachment 2724672
Huyu ndio kaongea ukweli WA wanaume wote cocochanelUsiolewe naye, atakusumbua sana, tabia ya mwanaume akiwa hana hela sio asili, akizipata anaweza kuwa mnyama. Ila kama wataka kuzaa na mda umefika, sawa, ila hakuna mume boda boda, mke degree, nasema wazi bila kuzungusha maneno.
Bro ulikuja kutukasirikia au unaendesha bodaboda na wewe?Stupid,wewe una kitu gani cha kumpa?,umetoka chuo una miaka 5 huna kazi,yeye graduate kajiongeza haombi hela ya kula wala ya kodi,hapa ukiangalia nani anatakiwa kumkimbia mwenzake?
Na kwanini una hamisha mapenzi kwa Yesu unataka ya boda boda?,si ubaki huko huko uwe 'NUN'.
Kama wewe huna usimshangae mwenzako ambae nae hana.
Leo boda boda,je wajua kesho atakua nani?
Huyo mwenye kipato unaomtaka umtambulishe,je una hakika kipato chake kitakua hivyo hivyo milele?
Labda ulikua chuo kushona,
Shinda kwenye makanisa ya turubai utaishia kuzaa na mwizi wa sadaka
HUJITAMBUI.
Akishanunua?!Mnunulie Helmet
Kiufupi huyo shori anasaka bwana mwenye pesa.Dear Money Penny
YAH: BWANA WANGU ANAENDESHA BODABODA
Mimi NI binti ambae sikuwahi kuwa kwenye mahusiano nikiwa chuoni.
Nilikuwa busy na masomo na ibada za casfeta.
Mapenzi yangu yalikuwa Kwa Yesu.
Baada ya kumaliza masomo sikupata KAZI, nikasota benchi Kwa Miaka 5, wenzangu nilisoma NAO walishaolewa na kuzaa na KAZI wanazo.
Nimevumilia lakini dadangu akaniambia tafuta bwana angalau uzae UMRI unaenda.
Siku Niko kwenye fellowship nikakutana na Kaka mmoja mlokole mwenzangu, nae NI graduate lakini Hana ajira
Amenunua bodaboda Kwa mkopo WA kampuni ya "WATU" pale Tegeta ndio anafanya nayo biashara apate kipato
Lakini ni mwaminifu, ananipenda mno na KAOKOKA,
Hatujawahi zini, Ila naogopa Sana kuolewa nae, maana kipato chake NI bodaboda Tu naona aibu mpaka aje kununua gari haya maisha yatakuwaje?
Kweli money penny bwana wangu anaendesha bodaboda lakini naona aibu kumtambulisha kwetu, ananipenda Sana nifanyaje??
Wako
Eliza."
Jamaa. Eliza anaomba msaada huku
View attachment 2724672
Drone drake ana degree😂😂😂😂Kiufupi huyo shori anasaka bwana mwenye pesa.
Mpatie dronedrake mkaanga vyuma labda atambadilisha msimamo waoane🤣
Boda na kichwa yote Sawa Bora angeendesha daladala basi
Jamani, si bachela huyo?🤣Drone drake ana degree😂😂😂😂