Bwashee kwa totozi za humu ukishawahi jizolea?

Kuna tufe moja linapost selfika , lipare flani hivi la mchogo , ni libaya kwa sura na mwonekano ila ni mtani wangu,mnalisifia tu nalo halijashtuka kuwa ni Pumbavu tu kmmmke , 😆
Aaisee kwani nakuwaga wapi napitwa na maputo maniner🤦🏽‍♀️

Nitumie nami nilione pampula😆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…