Kuanzia muonekano wa bwawa la Nyerere hadi kiasi cha umeme unaotengenezwa katika bwawa hilo ambao ni megawatt 2115 tu, kila kitu kimekuwa underplanned and underestimated (finyu). Tumepoteza nafasi adimu ya kutengeneza umeme wa kutosha kwa Taifa letu kwa miaka mingi ijayo kwa kutumia ka-sehemu kadogo tu ka uwezo wa mfumo wa maji katika bonde la mto Kilombero na Rufiji pengine kwa gharama zilezile.
Nafikiri upembuzi uliofanyika kabla ya ujenzi wa bwawa hili ulikuwa finyu sana na pia wakubwa wamekula mabilioni kupitia udanganyifu huu! Sasa tunakazana kupunguza maji kwenye bwawa kwa nguvu kubwa na kulazimika hata kuzima mashine moja tuliyokwisha kuiwasha!
UKIONA BWAWA LIMEJAA MIAKA MIWILI KABLA YA UBASHIRI WA WATAALAM MANAKE NI KWAMBA UPEMBUZI YAKINIFU HAUKUWA SAHIHI NA KUMEFANYIKA MAKADIRIO MADOGO MNO YA UWEZO KAMILI WA BWAWA LA NYERERE.
Waziri Makamba mwaka jana aliwaambia watanzania kuwa itachukua miaka miwili (hadi 2026) kwa bwawa kujaa maji ili tuweze kutengeneza umeme. Nlishangaa sana na niliandika hapa kuwa msimu huu hautaisha litajaa mpaka pomoni na ndivyo ilivyo. Na hata mpango wa Tanesco ulikuwa kuanza na mashine moja ifikapo July mwaka huu, lakini bwawa limeshajaa na kumwagika na mashine tayari iliwashwa tangu mwezi March mwaka huu! Hivi vyote ni viashiria vya misculculation kubwa.
Sijui wataalamu wetu wapo wapi na tunaliwa mno jamani! Wataalamu kutoka nje walijua fika kuwa potential ya Stigler's Gorge ni 6000MW plus lakini wametupatia vizuri mno kwa sisi kuwalipa matrilioni kwa wao kutengeneza kituo cha kuzalisha 2000MW kwa fedha ambazo pengine zingetosha kutengeneza kituo cha kuzalisha 6000MW!
KWA MARA NYINGINE TENA TUMEZALISHA GUNIA MOJA LA MAHINDI KWENYE HEKA MOJA NA TUNAWASIFU VIONGOZI WETU SANA KWA HILO!