Bwawa la maji la Farkwa, Dodoma sio simulizi tena, kazi inafanyika kuibadili Dodoma na viunga vyake

Bwawa la maji la Farkwa, Dodoma sio simulizi tena, kazi inafanyika kuibadili Dodoma na viunga vyake

Safi!
Kipindi kile tunatembelea Farkwa wananchi ndio walikuwa wametoka kulipwa hela za fidia. Basi unafika pale saa tatu asubuhi unakuta wote wako chakari wamelewa pombe.
 
Back
Top Bottom