Bwawa la Mwalimu Nyerere lafikia MITA 185 ujazo, lajaa mpaka kikomo

ubarinolutu

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
2,424
Reaction score
4,954
Bwawa la mwalimu Nyerere limejaa kabisa mpaka kufikia ujazo wa MITA 185 kati ya mita 186 kutoka usawa wa Bahari.

Hivyo Serikali kuanzia Muda wowote itaanza kumwaga maji au kufungulia maji Kwa lugha ya Magufuli, hili zoezi linafanyika kwakuwa mitambo ya uzalishaji umeme haijakamilika yote kama ilivyokusudiwa, maji yaliyopo ni mengi na mashine inayotembea ni moja tu, hivyo Serikali itafungulia maji bure Ili yaende baharini samaki wakanywe.

Mradi ukikamilika unatarajia kuzungusha mashine 9.

 
Hii nchi blah blah hazikauki
 
Pongezi kwa Samia na CCM kwa kujaza bwawa!
 
Hiyo kazi ya kujaza maji si ndo ilichukuwa muda mrefu na mradi kuchelewa? Sasa yanamwagwa tena?

Au kuna kitu sijaelewa hapa?
 
Kwanini wafungulie kwani hakuna "overflow" kwenye design yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…