kishumbaz
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 1,183
- 1,619
Inasaidia nini kama bado nchi ipo gizaBwawa la mwalimu Nyerere limejaa kabisa mpaka kufikia ujazo wa MITA 185 kati ya mita 186 kutoka usawa wa Bahari.
Hivyo Serikali kuanzia Muda wowote itaanza kumwaga maji au kufungulia maji Kwa lugha ya Magufuli, hili zoezi linafanyika kwakuwa mitambo ya uzalishaji umeme haijakamilika yote kama ilivyokusudiwa, maji yaliyopo ni mengi na mashine inayotembea ni moja tu, hivyo Serikali itafungulia maji bure Ili yaende baharini samaki wakanywe.
Mradi ukikamilika unatarajia kuzungusha mashine 9.