Bwawa la Mwalimu Nyerere lafikia MITA 185 ujazo, lajaa mpaka kikomo

Magufuli alisema pale chini ya bwawa kutakuwa na kilimo cha umwagiliaji, mpunga utakao limwa pale utaweza lisha dar yote, sasa sijui kama hilo lita fanyika maana mwenye wazo lake hayupo tena.
Hilo halikuwa wazo la magufuli,muwe mnafuatilia mambo,magufuli ana uelewa gani wa bwawa la umeme na kilimo Cha umwagiliaji!?..
 
Na mtambo huo Namba 9 una hitilafu. Wakati wowote utazimwa.
 
sisi tunataka umeme tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…