Bwawa la Mwalimu Nyerere lafikia MITA 185 ujazo, lajaa mpaka kikomo

Inasaidia nini kama bado nchi ipo giza
 
Hii ni balaa
 

Attachments

  • Screenshot_20240406-213339.jpg
    387.2 KB · Views: 4
... kutoka usawa wa bahari! Reference ya ujazo wa hilo bwawa ni bahari? That's extremely huge volume!

The correct statement would be "limejaa kuzidi uwezo wake" au kwa kiwango cha ujazo wake na sio kutoka "usawa wa bahari".

Seems topic ya reference point huko mashuleni walimu wanafundisha ujinga!
 
Chadema walisema halitajaa kwa sababu miti imekatwa
 
Kina Cha mwalimu nyerere reference yake ni usawa wa Bahari, Kwa maana ya level ya bahari ndo MITA 0, kwakuwa rufiji bwawa lipo juu, hivyo Kwa pale bwawani hiyo zero MITA haionekani.

Kingine, Kwa data za lile bwawa , Kila MITA Ina correspond na ujazo flani interm of cubic billion metres, Kwa mfano at 186m kutoka usawa wa bahari hii ni equivalent na cubic 34 billion MITA za ujazo.

Asante kiongozi
 
Kwa hiyo unatuambia height kutoka baharini hadi max. point ya bwawa kujaa ni 185/186 metres?
 
Hivi mkandarasi yuko site kweli? Mbona kama linaendeshwa kienyeji
 
March 13, lilikuwa limejaa na ndio kwanza maji yanazidi kuingia leo april 7 tulitegemea nini?
 
Kama ukomo ni 186 basi bado halijafikia ukomo.

Mita moja hapo ni maji mengi sana kuliko unavyofikiria.
 
Mkandarasi mwenyewe misri na hajawahi jenga hata josho la kuogeshea mifugo, zoezi litakalofuata ni kugawa magodoro rufiji
 
Chadema walisema halitajaa kwa sababu miti imekatwa
Na wataalamu wakaamini na wanasiasa wakaamini wakaleta mtambo mmoja namba 9? Maji yamewafanyia surprise? Yanawalazimisha kufunga mitambo mingine kinyume na matarajio? Walitaka tatizo liendelee mpaka siku walizo kadiria za kimchongo?
 
Kama ukomo ni 186 basi bado halijafikia ukomo.

Mita moja hapo ni maji mengi sana kuliko unavyofikiria.
Lishajaa na kupita hiyo MITA moja, hii taarifa ya muda kidogo , Hali Sasa ni tofauti
 
Tulipaswa kufikiria, endapo tukipata maji ya ziada tuyatumie vipi na sio kuyaacha tu yaende zake...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…