Bwawa la Nyerere na MV. Mwanza ni kielelezo tosha kuwa Hayati Magufuli alitumia vyema pesa za umma. Sio hii habari ya tril 1 kujenga madarasa hewa

Hyo meli haina msaada wowote kwa watz zaidi ya hasara tu na kuwanufaisha watu wachache

Eti wameweka mpaka vvip ya watu wawili kwa akili zao wanategemea eti kuna kiongozi atapanda humo kwanza anapanda hyo meli ili aende wapi
Unawasemea watu .
 
Wewe unawaza hayo madarasa tu?
Sasa inakuja ya ukarabati wa miu dombinu ya umeme kwa tillioni moja hapo ndo utajua sasa.
Tilioni 11 mzee sio moja,
Tunasemaje 1×11 tilioni= 11 tilioni ukarabati tu.
4 zishakwenda 11-4 =7 tilioni tunapiga😷😮‍💨😮‍💨😮‍💨
 
hata ikulu ya chamwino imekamilika hata mimi sipo genge lolote naona kazi zilizifanywa ndiyo maana nasema
 
Alimaliza lini Hilo bwawa na hiyo MV Mwanza? Maana amekaa miaka 6 anapiga porojo tuu.

Niletee shule yeyote ya sekondari ambayo Watoto wanakaa chini,nimekaa pale
 
Uchungu na Nchi Kwa kujenga kameli la bil.109? Unajua gharama ya kujenga km 32 tuu za dual carriage way inagojengwa Mbeya wewe?

Kati ya Samia ambae atatujengea Tanzam njia 4,Express way Dar to Morogoro, Dodoma Ring Road nk nani ataandika historia inayoacha alama?
 
Jpm alianzisha tu na Wala hajaweka hela yeye hata 20% na asingeweza. Zote 80% zimejengwa na mama. Mama ndo anastahili sifa ila jpm ni mwanzilishi tu theoretically but the practical part of it ni mama samia
Licha ya kuanzisha porojo zilikuwa nyingi sana , uchumi sekta zingine ulisimama na blaa blaa kibao za kijinga..

Mama Sasa ni noma anasongesha vyote at once,anatoa Ajira,ameanzisha miradi mipya sekta zote hakuna ambako kumepoa Hadi kule NHC alikoharibu Jiwe.

Rais wangu wa wakati wote atakuwa ni Samia hao wengine ni kama walikuwa wanatuchosha tuu
 
Amejenga kwa akili kubwa sana ya kuenvite wawekezaji ili kukusanya Kodi pamoja na uwezo binafsi wa kwenda njie na kutafuta loans zenye masharti nafuu. Jpm asingeweza mana machinga wasingeweza kulipa Kodi na kujenga hivi vitu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kituko,nitajie mwekezaji yeyote wa maana hata mmja aliyekuja zama za Mwendazake.

Kama Mwendazake alileta wawekezaji Rais Samia atasemaje Sasa maana huyu ni noma..

Zama za Jiwe kukuta takwimu kama hizi ambazo hazina utata ilikuwa ni haiwezekani

 
We unaijua hata hii nchi zaidi ya kuwa umekalisha tako lako hapo unapoishi? Acha uzwauzwa dogo na chuki zisizokusaidi lolote. Umpendaye kashaitwa waweza kumfuata km umemmiss mama anajenga nchi kwa speed kubwa sana.
Mwambie Kuna siku aliwahi msikia Rais Samia akitoa kisingizio chochote kama Jiwe? Ooh weka greese,mara ooh hatuongezi salary tunajenga Stiglaz na blaa blaa nyingine za failure.

Hapo alikuwa anababaishwa na ka Sgr,bwawa na tu stand nk ,Madam is doing all and many others without any stupid excuses za Jiwe.
 
Pesa ya Bwawa haijalipwa bado labda kama unaongelea umuhimu wa mradi lakini pesa wanalipa mpaka saaa.

Mkopo wa kujenga madarasa ulikuwa mzuri inawezekana haujawlewa riba za mikopo hii mikubwa nenda kasome zaidi kabla ya kulalama
Swala sio mkopo wa madarasa ,Bali ishu ni kwamba Watoto mil.1 Kwa mpigo ungewaweka kwenye madarsa yapi na Jiwe alikuwa busy na mambo ya flaiova,bwawa,Sgr na mamiradi mengine yasiyo na Tija Kwa Wanyonge wake?

Harafu walivyo mbumbumbu, kwenye Til.1.3,Madarasa ni bil.350 tuu na zingine zote zimeenda kwenye Afya,maji, Machinga na Utalii.

Toka Dunia iumbwe ni Samia ndio kaleta CT scan Hospital zote za Mikoa Tanzania nzima,kaleta X rat kwenye hospital zote za Wilaya Tanzania nzima..

Tukiweka orodha hapa hatumalizi Leo Wala kesho.
 
Kwani jpm kafanya Nini kwenye hiyo meli zaidi ya kutamka ambapo hata Mimi ni ningeweza kutamka bila vitendo
Harafu meli yenyewe ni bil.109 tuu na Hadi anakufa ilikuwa chini ya 40%

Wakati as we speak Mama anajengea mradi wa Maji Dodoma wa bil.zaidi ya 300
 
Mambo aliyoyafanya yanaonekana na ni kwa manufaa ya wengi.

Kwakua wezi hawana cha kuonesha basi hawaishi matusi kila siku.
Ajabu ni kuwa fedha za ndani akaziiba na kuweka kwenye accounts zao China na Canada, halafu akaanzisha miradi mikubwa kwa kukopa fedha kwenye mabenki mikopo yenye riba za kibiashara kama jitu zuzu lenye ubongo wa Sokwe!
Mxyu#&uu!!
 
Akili yako inakutosha kuuza kangara tu mambo mengine yaache yapite
 
Jamani vijana tujaribu kuwa smart taifa inatutegemea sisi, kitendo cha kukamilika kwa miradi hayo haikupi 100% kwamba mwenda zake alikuwa mwema kwa taifa au laa!

Mtu mwema kwa taifa uweka mfumo mzuri utakao dumu vizazi na vizazi kwa maslahi mapana ya taifa. Uwezi jipambanua kama mzalendo wakati huo unaogopa uwazi katika serikali yako

Huwezi jipambanua kama mzalendo wakati huo unaogopa kukosolewa na watu hao hao walio kuweka madarakani, uwezi kuwa mzalendo wa nchi hii wakati huo unajiwekea kinga yakutokushtakiwa wewe na watu wako wa karibu

Uwezi kuwa mzalendo wakati huo unakanyaga haki ya watu wako, sasa ni uzalendo au uharamia? Sisi tunakubali kupokea hayo miradi iliyokamilishwa na Mama kwa mikono miwili, mwenda alishatembea zake wanao muongelea nahisi wana ajenda yao ya siri, tujifunze kuwa wazalendo wa kweli ok
 
Wewe sio tuu mjinga Bali ni mpumbavu.

Daraja la Jangwani
Bwawa la kidunda
Bwawa la Farkwa,
Express way Dar-Moro
Tanzam njia 4 Igawa-Tunduma
Bandari ya uvuvi Kilwa Masoko na Bagamoyo
Airport Dom
Arenas Dom na Dar
Miradi ya umeme ya Matilioni ya kuunganisha Mikoa isiyo na grid ya Taifa,tayari Kigoma amekiwasha
Mabarabara Kila Mkoa yanaendelea
Maji huko ndio usiseme Bil.118 Kiwira-Mbeya
Irrigation schemes zaidi ya bil.300 ziko 27 Nchi nzima
Samia Housing Scheme zaidi ya Bil.400 NHC
Meli 3 Ziwa Tanganyika bil.700 .

Hiyo ni baadhi tuu nayoikumbuka , mingine hapo imeanza ,mingine itaanza mwaka huu na mingine mwaka ujao.

On top of that Kuna BRT awamu ya 3 na 4,Tactic Nchi nzima,Miradi ya Mwendazake yote.

Yaani hayo madarasa,Vituo vya Afya,masoko,stand nk ni ziada sana kwa Samia ,amefuta shida ya madarasa sekondari next year anafuta hiyo shida shule za msingi Kuna..

Kiufupi nitajaza Seva Bure na pesa anayo.[emoji116]

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…