Bwawa la Nyerere na MV. Mwanza ni kielelezo tosha kuwa Hayati Magufuli alitumia vyema pesa za umma. Sio hii habari ya tril 1 kujenga madarasa hewa

Bwawa la Nyerere na MV. Mwanza ni kielelezo tosha kuwa Hayati Magufuli alitumia vyema pesa za umma. Sio hii habari ya tril 1 kujenga madarasa hewa

Jpm alianzisha tu na Wala hajaweka hela yeye hata 20% na asingeweza. Zote 80% zimejengwa na mama. Mama ndo anastahili sifa ila jpm ni mwanzilishi tu theoretically but the practical part of it ni mama samia
Kumbe hata wewe hujui Nyerere ndio mwenye wazo wengine wote walishindwa Magu akasema ni lazima tufanye waliompinga tunawajua sio lazima kutajwa. Walipoingia baada ya kifo chake wakaanza mpango vipa umbele kama sio Sukuma genge kulivalia njuga sasa hivi yangekuwa yanasemwa mengine. Hata hivo kipindi chake ni 45% sio haba
 
Lile Bwawa unless tuwe tunapata maji kutoka Ziwani kama ilivyo Mto Naili au mto Kongo, kwa Hali ya sasa umeme wa Maji ni hatari tupu, ni mzuri ni wa gharama ndogo ila wa hatari sana, angalia Zambia wanavyo teseka now,

Kwa mto kama Nile na Mto kongo kuna angalau uhakika wa maji wake wanatoa kwenye maziwa Victoria na Tanganyika.

Ile Meli itabeba mizigo ipi? Hilo ndio swali la.msingi
Wewe ni kichaa nini wewe unauliza meli itabeba nini
 
Na mama Samiah alikuwa na mamlaka ya kuyaacha yale yote yaliyoanzishwa na mtangulizi wake ili ajipatie sifa kwa kile ambacho angekianzisha yeye lakini kwa sababu ya uzalendo na weledi wa utendaji kazi ameamua kuyamalizia yale yote yaliyoanzishwa na Kikwete pia hata yale yaliyoanzishwa na Magufuri.
Raia Samia sio mjinga kama yule,alisema Kwa mfano tayari yalishakula kama til.14 Kwa pamoja ukiacha ni hasara mara 2 japo anafahamu kwamba ni hasara kuendelea nayo..

Kwa kuwa ana akili aliamua kutafuta pesa Kwa connection na exposure aliyonayo ndio hiyo imemsaidia kupata pesa za kusukuma Kila mradi Kila sekta na Ajira Juu..

Ndio maana saizi anapata na usingizi Utalii unapaa,Kilimo kinapaa, biashara zinapaa ,Wadau wanamuelewa , wawekezaji ndio usiseme.
 
Bado hesabu hazikupigwa vyema, Kwa speedi ya uharibifu wa mazingira nchii hii lile bwawa linaweza sababisha raia waka kufuru bure, Hydropower kwa sasa ni changamoto sana angalia South Africa, angalia Zambia kule na Bwawa lao la Kariba 1636 Megawhat wana mgao wa kutisha kabisa.

Ethiopia wanaweza kuwa na uhakika kwa sababu wanachukua maji ziwa Victoria kupitia Nile, ila kwa huku tunakotegemea mvua lile bwawa ni hasara.

Na kumbuka Serikali haijali swala la Uharibifu wa mazingira yaani ni kama haiwahusu kabisa
Mkuu mto Rufiji unaujua au unausikia tu?
 
Sukuma gang eleweni tuu hakuna mtoto kakosa mkopo kama enzi za Jiwe na boom limeongezwa.

 
Acha kulinganisha viongozi... Hayati Magufuli na Mama hawafanani na Hawawezi kufanana.. kila mtu ana alama alio acha hapa..
Saizi sitosema Nitakuwa nawaletea yaliyofangika na yanayofanyika

 
Kama tungekuwa na watu kama wewe as decision makers nchi hii ingekua imejaa mafukara mara mia tulivyo sasa.
Haya mambo yalimshinda Mwendazake.

Angalia hiyo hospital na hivyo vifaa ni [emoji91][emoji91]

 
Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni.....
Raisi Magufuli alifanya kazi na inaonekana......
 
Back
Top Bottom