Bado hesabu hazikupigwa vyema, Kwa speedi ya uharibifu wa mazingira nchii hii lile bwawa linaweza sababisha raia waka kufuru bure, Hydropower kwa sasa ni changamoto sana angalia South Africa, angalia Zambia kule na Bwawa lao la Kariba 1636 Megawhat wana mgao wa kutisha kabisa.
Ethiopia wanaweza kuwa na uhakika kwa sababu wanachukua maji ziwa Victoria kupitia Nile, ila kwa huku tunakotegemea mvua lile bwawa ni hasara.
Na kumbuka Serikali haijali swala la Uharibifu wa mazingira yaani ni kama haiwahusu kabisa