Yule hafi nenda uangalie bwawa la nyerereKwa nini hamtaki kuamini kwamba huyo mtu wenu hatorejea tena duniani??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule hafi nenda uangalie bwawa la nyerereKwa nini hamtaki kuamini kwamba huyo mtu wenu hatorejea tena duniani??
Unawasemea watu .Hyo meli haina msaada wowote kwa watz zaidi ya hasara tu na kuwanufaisha watu wachache
Eti wameweka mpaka vvip ya watu wawili kwa akili zao wanategemea eti kuna kiongozi atapanda humo kwanza anapanda hyo meli ili aende wapi
Tilioni 11 mzee sio moja,Wewe unawaza hayo madarasa tu?
Sasa inakuja ya ukarabati wa miu dombinu ya umeme kwa tillioni moja hapo ndo utajua sasa.
hata ikulu ya chamwino imekamilika hata mimi sipo genge lolote naona kazi zilizifanywa ndiyo maana nasemaYaani waziri wa pesa anadai madarasa ya tril 1.3 yamejengwa lakini ukizunguka hapa nchini unakuta watoto wanakaa chini.
Bwawa la Nyerere linakamailika, Mv Nyerere imekamilika. Hii yote ni sababu ya hayati JPM kusimama kidete.
NB: Mimi siko genge lolote.
Alimaliza lini Hilo bwawa na hiyo MV Mwanza? Maana amekaa miaka 6 anapiga porojo tuu.Yaani waziri wa pesa anadai madarasa ya tril 1.3 yamejengwa lakini ukizunguka hapa nchini unakuta watoto wanakaa chini.
Bwawa la Nyerere linakamailika, Mv Nyerere imekamilika. Hii yote ni sababu ya hayati JPM kusimama kidete.
NB: Mimi siko genge lolote.
Uchungu na Nchi Kwa kujenga kameli la bil.109? Unajua gharama ya kujenga km 32 tuu za dual carriage way inagojengwa Mbeya wewe?JPM ni JPM, na wengine wabaki kuwa wao!
Mwenye uchungu na nchi huwa hajifichi! Atajulikana tu kwa matendo yake!
Kuna genge la wanaojiita wasomi wa hii nchi, wao kazi yao ni kuponda tu, lakini nini wamefanya! Ni ugoro tupu!
Utakuta jamaa linaponda ili hali wizara moja tu imelishinda kuisimamia!
Watu tunaibiwa kuhusu mb na zimepanda utazani nazo athari ya vita ya urusi na ukrain imeikumba hii sector
Nyie wasomi onyesheni uwezo wenu, la sivyo huyu aliyeko aridhini atawadhalilisha mno na usomi wenu
Licha ya kuanzisha porojo zilikuwa nyingi sana , uchumi sekta zingine ulisimama na blaa blaa kibao za kijinga..Jpm alianzisha tu na Wala hajaweka hela yeye hata 20% na asingeweza. Zote 80% zimejengwa na mama. Mama ndo anastahili sifa ila jpm ni mwanzilishi tu theoretically but the practical part of it ni mama samia
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kituko,nitajie mwekezaji yeyote wa maana hata mmja aliyekuja zama za Mwendazake.Amejenga kwa akili kubwa sana ya kuenvite wawekezaji ili kukusanya Kodi pamoja na uwezo binafsi wa kwenda njie na kutafuta loans zenye masharti nafuu. Jpm asingeweza mana machinga wasingeweza kulipa Kodi na kujenga hivi vitu
Kama yapi?Mambo aliyoyafanya yanaonekana na ni kwa manufaa ya wengi.
Kwakua wezi hawana cha kuonesha basi hawaishi matusi kila siku.
Tumeona mikataba mibovu ya masharti ya kibiashara ya Jiwe sembuse hii ya Mama aliye transparent?Hizo loan za masharoti nafuu usha ona mikataba yake au una nyamba tu
Mwambie Kuna siku aliwahi msikia Rais Samia akitoa kisingizio chochote kama Jiwe? Ooh weka greese,mara ooh hatuongezi salary tunajenga Stiglaz na blaa blaa nyingine za failure.We unaijua hata hii nchi zaidi ya kuwa umekalisha tako lako hapo unapoishi? Acha uzwauzwa dogo na chuki zisizokusaidi lolote. Umpendaye kashaitwa waweza kumfuata km umemmiss mama anajenga nchi kwa speed kubwa sana.
Pesa ya mkopo Huwa inatakiwa kujenga nini?Unajenga madarasa kwa hela ya mkopo si kituko hicho jamani
Swala sio mkopo wa madarasa ,Bali ishu ni kwamba Watoto mil.1 Kwa mpigo ungewaweka kwenye madarsa yapi na Jiwe alikuwa busy na mambo ya flaiova,bwawa,Sgr na mamiradi mengine yasiyo na Tija Kwa Wanyonge wake?Pesa ya Bwawa haijalipwa bado labda kama unaongelea umuhimu wa mradi lakini pesa wanalipa mpaka saaa.
Mkopo wa kujenga madarasa ulikuwa mzuri inawezekana haujawlewa riba za mikopo hii mikubwa nenda kasome zaidi kabla ya kulalama
Harafu meli yenyewe ni bil.109 tuu na Hadi anakufa ilikuwa chini ya 40%Kwani jpm kafanya Nini kwenye hiyo meli zaidi ya kutamka ambapo hata Mimi ni ningeweza kutamka bila vitendo
Ajabu ni kuwa fedha za ndani akaziiba na kuweka kwenye accounts zao China na Canada, halafu akaanzisha miradi mikubwa kwa kukopa fedha kwenye mabenki mikopo yenye riba za kibiashara kama jitu zuzu lenye ubongo wa Sokwe!Mambo aliyoyafanya yanaonekana na ni kwa manufaa ya wengi.
Kwakua wezi hawana cha kuonesha basi hawaishi matusi kila siku.
Wewe ulitaka ukope kujenga nini kama huna choo? Utakunya kwenye Maji kama mnavyofanya huko Usukumani?Tena ujinga wa hali ya juu! Ni kama wewe ukope kujenga choo!
Madaraja kibao yapi?Uwanja wa Ndege alimalizia na madaraja kibao!
Akili yako inakutosha kuuza kangara tu mambo mengine yaache yapiteYaani waziri wa pesa anadai madarasa ya tril 1.3 yamejengwa lakini ukizunguka hapa nchini unakuta watoto wanakaa chini.
Bwawa la Nyerere linakamailika, Mv Nyerere imekamilika. Hii yote ni sababu ya hayati JPM kusimama kidete.
NB: Mimi siko genge lolote.
Wewe sio tuu mjinga Bali ni mpumbavu.Ujenzi wa gati na ujenzi ulikuwa ushaanza zaidi ya 20% huyo bibiako anatumia vision ya Magufuli! Ni mweupe sana kichwani!
We unaamini kabisa Samia tofauti na kazi za kike za madarasa aanaweza kuwa na project kubwa kama Nyerere Hydro,Busisi,SGR,Tanzanite,na flyover ,Meli nk?