Bwawa la Nyerere na MV. Mwanza ni kielelezo tosha kuwa Hayati Magufuli alitumia vyema pesa za umma. Sio hii habari ya tril 1 kujenga madarasa hewa

Jpm alianzisha tu na Wala hajaweka hela yeye hata 20% na asingeweza. Zote 80% zimejengwa na mama. Mama ndo anastahili sifa ila jpm ni mwanzilishi tu theoretically but the practical part of it ni mama samia
Kumbe hata wewe hujui Nyerere ndio mwenye wazo wengine wote walishindwa Magu akasema ni lazima tufanye waliompinga tunawajua sio lazima kutajwa. Walipoingia baada ya kifo chake wakaanza mpango vipa umbele kama sio Sukuma genge kulivalia njuga sasa hivi yangekuwa yanasemwa mengine. Hata hivo kipindi chake ni 45% sio haba
 
Wewe ni kichaa nini wewe unauliza meli itabeba nini
 
Raia Samia sio mjinga kama yule,alisema Kwa mfano tayari yalishakula kama til.14 Kwa pamoja ukiacha ni hasara mara 2 japo anafahamu kwamba ni hasara kuendelea nayo..

Kwa kuwa ana akili aliamua kutafuta pesa Kwa connection na exposure aliyonayo ndio hiyo imemsaidia kupata pesa za kusukuma Kila mradi Kila sekta na Ajira Juu..

Ndio maana saizi anapata na usingizi Utalii unapaa,Kilimo kinapaa, biashara zinapaa ,Wadau wanamuelewa , wawekezaji ndio usiseme.
 
Mkuu mto Rufiji unaujua au unausikia tu?
 
Sukuma gang eleweni tuu hakuna mtoto kakosa mkopo kama enzi za Jiwe na boom limeongezwa.

 
Acha kulinganisha viongozi... Hayati Magufuli na Mama hawafanani na Hawawezi kufanana.. kila mtu ana alama alio acha hapa..
Saizi sitosema Nitakuwa nawaletea yaliyofangika na yanayofanyika

 
Kama tungekuwa na watu kama wewe as decision makers nchi hii ingekua imejaa mafukara mara mia tulivyo sasa.
Haya mambo yalimshinda Mwendazake.

Angalia hiyo hospital na hivyo vifaa ni [emoji91][emoji91]

 
Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni.....
Raisi Magufuli alifanya kazi na inaonekana......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…