Bwawa la Nyerere na MV. Mwanza ni kielelezo tosha kuwa Hayati Magufuli alitumia vyema pesa za umma. Sio hii habari ya tril 1 kujenga madarasa hewa

Na hii hapa ni vision ya nani? Baba Yako?

Mwendazake alichemka,wenye vision wanafanya hivi [emoji116]

 
Shukrani,ufafanuzi mzuri aliye na masikio na asikie.
 
Watajenga kitu gani hawa wezi? Wanafikiri wanaweza kuiba na kujenga kwa wakati mmoja. Walafi wakubwa hawa lazima waadhirike. Siku ikifika wanapigwa mawe wote. Tuombe tu uzima.
 
2024 Kuna uchaguzi!,fedha kibao inahitajika,ccm,samia na genge lake lazima waibe na kupiga pesa nyingi kwa miradi hewa,
 
Issue ya madarasa inaboa sana, wanajinasibu wamepata matrilioni ya pesa kujenga madarasa lakini wananchi wanachangishwa pesa kujenga madarasa, hii mbona siielewi? Mliosoma Cuba mnisaidie
Pesa aliwachangisha Jiwe,Samia hajawahi mchangisha mtu,wewe ukichangishwa wapi? Weka risiti hapa
 
Watajenga kitu gani hawa wezi? Wanafikiri wanaweza kuiba na kujenga kwa wakati mmoja. Walafi wakubwa hawa lazima waadhirike. Siku ikifika wanapigwa mawe wote. Tuombe tu uzima.
Bwashee makasiriko ya nini?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…