Bwawa la Nyerere na MV. Mwanza ni kielelezo tosha kuwa Hayati Magufuli alitumia vyema pesa za umma. Sio hii habari ya tril 1 kujenga madarasa hewa

Bwawa la Nyerere na MV. Mwanza ni kielelezo tosha kuwa Hayati Magufuli alitumia vyema pesa za umma. Sio hii habari ya tril 1 kujenga madarasa hewa

Ujenzi wa gati na ujenzi ulikuwa ushaanza zaidi ya 20% huyo bibiako anatumia vision ya Magufuli! Ni mweupe sana kichwani!
We unaamini kabisa Samia tofauti na kazi za kike za madarasa aanaweza kuwa na project kubwa kama Nyerere Hydro,Busisi,SGR,Tanzanite,na flyover ,Meli nk?
Na hii hapa ni vision ya nani? Baba Yako?

Mwendazake alichemka,wenye vision wanafanya hivi [emoji116]

 
Jamani vijana tujaribu kuwa smart taifa inatutegemea sisi, kitendo cha kukamilika kwa miradi hayo haikupi 100% kwamba mwenda zake alikuwa mwema kwa taifa au laa!

Mtu mwema kwa taifa uweka mfumo mzuri utakao dumu vizazi na vizazi kwa maslahi mapana ya taifa. Uwezi jipambanua kama mzalendo wakati huo unaogopa uwazi katika serikali yako

Huwezi jipambanua kama mzalendo wakati huo unaogopa kukosolewa na watu hao hao walio kuweka madarakani, uwezi kuwa mzalendo wa nchi hii wakati huo unajiwekea kinga yakutokushtakiwa wewe na watu wako wa karibu

Uwezi kuwa mzalendo wakati huo unakanyaga haki ya watu wako, sasa ni uzalendo au uharamia? Sisi tunakubali kupokea hayo miradi iliyokamilishwa na Mama kwa mikono miwili, mwenda alishatembea zake wanao muongelea nahisi wana ajenda yao ya siri, tujifunze kuwa wazalendo wa kweli ok
Shukrani,ufafanuzi mzuri aliye na masikio na asikie.
 
Yaani waziri wa pesa anadai madarasa ya tril 1.3 yamejengwa lakini ukizunguka hapa nchini unakuta watoto wanakaa chini.

Bwawa la Nyerere linakamailika, Mv Nyerere imekamilika. Hii yote ni sababu ya hayati JPM kusimama kidete.

NB: Mimi siko genge lolote.
Watajenga kitu gani hawa wezi? Wanafikiri wanaweza kuiba na kujenga kwa wakati mmoja. Walafi wakubwa hawa lazima waadhirike. Siku ikifika wanapigwa mawe wote. Tuombe tu uzima.
 
Yaani waziri wa pesa anadai madarasa ya tril 1.3 yamejengwa lakini ukizunguka hapa nchini unakuta watoto wanakaa chini.

Bwawa la Nyerere linakamailika, Mv Nyerere imekamilika. Hii yote ni sababu ya hayati JPM kusimama kidete.

NB: Mimi siko genge lolote.
2024 Kuna uchaguzi!,fedha kibao inahitajika,ccm,samia na genge lake lazima waibe na kupiga pesa nyingi kwa miradi hewa,
 
Issue ya madarasa inaboa sana, wanajinasibu wamepata matrilioni ya pesa kujenga madarasa lakini wananchi wanachangishwa pesa kujenga madarasa, hii mbona siielewi? Mliosoma Cuba mnisaidie
Pesa aliwachangisha Jiwe,Samia hajawahi mchangisha mtu,wewe ukichangishwa wapi? Weka risiti hapa
 
Back
Top Bottom