Bwawa la Nyerere ni uamuzi mgumu na wa kijasiri uliofanywa na Magufuli!

Huo mradi unahitaji mda kama miak 5-10 kufanyia tathimini kama ilikua idea nzuri economically au economical experiment kwasbb wajuzi wanasema hydro power imepita na kati out dated technology na haina wakika wa costant supply kwa kiwango kumbwa inategemea maji ya mvua kujaza ma mbwawa mda, pia umeme unakua wa bei ya juu ila hayo yote tuyape mda tu.
 
Tunahitaji maendeleo
Na maendeleo ya muafrika kama kawaida kazoea fimbo shuleni na matusi kazini
Bila hayo hawezi kusonga mbele ndio maana Magu alikuwa anawaelewa mawaziri wake na kuwaita wengine Wapumbavu

Ushujaa na ubabe unahitajika kama unataka Taifa la wajinga liendelee
 
Hao wajuzi ni waongo...

Maji yatakauka Duniani miaka bilion 4 ijayo au mwisho wa Dunia.

Marekani ina mabwawa zaidi ya 10L na nusu yake inataka yawe Mabwawa ya Umeme
 

Mkuu huu uzi utakuwa unaupost kila mara kama uzi mpya?
 
Itabidi umkubali tu jumla ,yule alikuwa mtu na nusu, Ngoja nikwambie katika akili za waafrika basi yule alikuwani mmoja wa smartest Africans.
 
Moja ya kitu ambacho wazungu wametuweza ni kuhakikisha waafrica hatupo huru. Leo hii USA akiamua kujenga Hydro hakuna nchi yoyote ita comment, mambo ya ndani ya nchi yao hayaingiliwi.

Ila bongo au Africa mrad wowote mkubwa kwanza unaanzia kupingwa kutoka ndani. Ukimsikiliza Nape na Makamba kipindi hicho wakiuelezea mradi huu huwez kuamini kama walikua watanzania.
 
Mdomoni watu wanamnena watakavyo mara Mshamba, mara mlugaluga mara muuwaji lakini kivitendo wanamtukuza na kumkumbatia

Kwa sasa Wizara ya Nishati sifa Pekee wanayojitukuzia ni Bwawa la Nyerere la Umeme na Bungeni habari ilikuwa ni hiyo tu

Ndege ya Mizigo ambayo Shujaa Magufuli alidai alipata ushauri kwa Kagame ndio hiyo imepokelewa

Ikulu ya Chamwino ndio ile kivitendo kila mtu anaisifia

Jiwe walilolikataa mafisadi kumekuwa Jiwe kuu la Pembeni na 2025 kila Mwanaccm atalikumbatia ili asidondoke uchaguzini

Nawatakia Dominica Njema!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…