Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Waziri myenye dhamana ndio anatakiwa kumshauri rais.Kuhusu Umeme shida ni Rais hana Utashi wa bwawa la Nyerere kukamilika January hana shida na habari ya tozo ni Rais mwenyewe anahusika
Unajua kusomaBwawa linachimbwa mafuta?
Mnaweza kuzalisha na kuuza LNG lakini zikawafaidisha mabeberu na wahuni wachache...mradi wa LNG usingesimamishwa na Magufuli sasa hivi Tanzania ingekuwa inafaidika kwa kuuza gesi kwa nchi zilizoiwekea vikwazo Urusi.
Marais wa nchi ni wafalme ambao wanawashauri wenye nguvu kuliko mawaziri baadhi hushauriwa na mahawara zao au vimeo tu na waziri kupuuzwa ni kawaida sanaWaziri myenye dhamana ndio anatakiwa kumshauri rais.
Hoja iliyopo mezani ni athari za vita ya Ukraine kwenye uchumi wetu. Athari zingepungua sana kama umeme ungepungua bei baada ya kukamilika JNHP.Watu hamuelewi na ni kwasababu Serikali imejengeka katika mfumo wa kuficha siri. Ukweli ni kwamba aliyefanya Bwawa la Nyerere lichelewe si Samia wala January wala Kalemani. Ni Mwendazake. Narudia tena ni Mwendazake kwa ubahiri wake wa kukupa kampuni isiyo na uwezo katika kutekeleza baadhi ya kazi. Hiki kitu msitarajie kwamba kitakuja kisemwa hadharani na hata kama kitasemwa je mtakiamini? Serikali inalipa kea wakati pesa na haidaiwi sasa si mjiulize kama shida ni Samia au January au nani? Men, kufagia uchafu wa Malaika wa Chato si Jambo rahisi kama mnavyodhani.
Huyu mtu ameigharimu sana nchi ila bahati watu waliomrithi ni wastarabu hivyo wanamfichia madhambi yake tu...mradi wa LNG usingesimamishwa na Magufuli sasa hivi Tanzania ingekuwa inafaidika kwa kuuza gesi kwa nchi zilizoiwekea vikwazo Urusi.
Kwanini mpenda kujiaminisha mipango na mawazo ya yule jamaa pekee ndio ilikuwa sahihi?Mnaweza kuzalisha na kuuza LNG lakini zikawafaidisha mabeberu na wahuni wachache.
Lack of education is a problemBwawa linachimbwa mafuta?
Usidhanie mradi wa LNG lindi ni kukurupukia kama unajambaKwanini mpenda kujiaminisha mipango na mawazo ya yule jamaa pekee ndio ilikuwa sahihi?
Kwanini?? Shida ni nini?? Naomba unielekeze mtaalamuUsidhanie mradi wa LNG lindi ni kukurupukia kama unajamba
Shida ni mabeberu na mafisadi kama wewe.Kwanini?? Shida ni nini?? Naomba unielekeze mtaalamu