Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Wenzetu wanaojielewa👇👏👏👏
Mapaka yaliyopora chaguzi👇🐒🐒🐒
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa lingekamilika vipi kama kampuni iliyopewa kwa bei ya mchongo haina uwezo wa kukamilisha kazi kwa wakati?? Hili tatizo lilijulikana hata kabla Mwendazake hajaondoka ila hakuwa na option nyingine ya kumbadili maana alijua alichofanya. Ndio maana huo mradi umekuwa nyuma ya wakati siku nyingi tu. Achaneni na porojo za vijiweni January na Samia hawakufanya lolote la kuchelewesha huo mradi. Infact Mama amekuwa akijitahidi sana kutoa fedha kwa wakati. Mlitaka afanye nini sasa Ili ukamilike kwa wakati?Hoja iliyopo mezani ni athari za vita ya Ukraine kwenye uchumi wetu. Athari zingepungua sana kama umeme ungepungua bei baada ya kukamilika JNHP.
Duh!Wenzetu wanaojielewa👇👏👏👏
View attachment 2179468View attachment 2179469View attachment 2179471View attachment 2179473Mapaka yaliyopora chaguzi👇🐒🐒🐒View attachment 2179477View attachment 2179478View attachment 2179479View attachment 2179480
Kwahiyo kwenye SGR, Rufiji Dam, ATCL hakuna mabeberu na mafisadi??Shida ni mabeberu na mafisadi kama wewe.
Vizuri, naomba utupe bei za Petrol na Diesel za Kenya na Rwanda leo?Wenzetu wanaojielewa👇👏👏👏
View attachment 2179468View attachment 2179469View attachment 2179471View attachment 2179473Mapaka yaliyopora chaguzi👇🐒🐒🐒View attachment 2179477View attachment 2179478View attachment 2179479View attachment 2179480
Umeishia darasa la ngapi?Kwahiyo kwenye SGR, Rufiji Dam, ATCL hakuna mabeberu na mafisadi??
Hv Tanzania mna gesi ya kuuza nje ya nchi? Sisi wenyewe tunaagiza baadhi Sasa hiyo ya kuuza ikowapi..mradi wa LNG usingesimamishwa na Magufuli sasa hivi Tanzania ingekuwa inafaidika kwa kuuza gesi kwa nchi zilizoiwekea vikwazo Urusi.
Unajibu swali kwa swali?Umeishia darasa la ngapi?
Gas Yenu sasa ? Waache kufaidika wenye 10% yao ....!..mradi wa LNG usingesimamishwa na Magufuli sasa hivi Tanzania ingekuwa inafaidika kwa kuuza gesi kwa nchi zilizoiwekea vikwazo Urusi.
Sijakuelewa kabisa hapa!Ujumbe unaotaka kutuma hapa ni kwamba subsidization ni kitu ambacho hakina msaada katika kupambana na matatizo ya kiuchumi katika Taifa?!Vizuri, naomba utupe bei za Petrol na Diesel za Kenya na Rwanda leo?
Acha ujinga ww kampuni ya Arab contract ni kampuni sio kubwa misri tu Bali Africa na DuniaWatu hamuelewi na ni kwasababu Serikali imejengeka katika mfumo wa kuficha siri. Ukweli ni kwamba aliyefanya Bwawa la Nyerere lichelewe si Samia wala January wala Kalemani. Ni Mwendazake.
Narudia tena ni Mwendazake kwa ubahiri wake wa kukupa kampuni isiyo na uwezo katika kutekeleza baadhi ya kazi.
Hiki kitu msitarajie kwamba kitakuja kisemwa hadharani na hata kama kitasemwa je mtakiamini? Serikali inalipa kea wakati pesa na haidaiwi sasa si mjiulize kama shida ni Samia au January au nani?
Men, kufagia uchafu wa Malaika wa Chato si Jambo rahisi kama mnavyodhani.
Labda hujui huo ni ulaji tu anatafutwa..Sijakuelewa kabisa hapa!Ujumbe unaotaka kutuma hapa ni kwamba subsidization ni kitu ambacho hakina msaada katika kupambana na matatizo ya kiuchumi katika Taifa?!
Baadhi ya kazi kama zipi Mkuu hebu tuambie!Watu hamuelewi na ni kwasababu Serikali imejengeka katika mfumo wa kuficha siri. Ukweli ni kwamba aliyefanya Bwawa la Nyerere lichelewe si Samia wala January wala Kalemani. Ni Mwendazake.
Narudia tena ni Mwendazake kwa ubahiri wake wa kukupa kampuni isiyo na uwezo katika kutekeleza baadhi ya kazi.
Hiki kitu msitarajie kwamba kitakuja kisemwa hadharani na hata kama kitasemwa je mtakiamini? Serikali inalipa kea wakati pesa na haidaiwi sasa si mjiulize kama shida ni Samia au January au nani?
Men, kufagia uchafu wa Malaika wa Chato si Jambo rahisi kama mnavyodhani.
Wapi nimesema kama ni kampuni ndogo? Wewe unajua kule JKNHP kuna kampuni ngapi na kila moja inafanya nini? Usikariri. Kule kuna zaidi ya Arab contractors. Check your fact well.Acha ujinga ww kampuni ya Arab contract ni kampuni sio kubwa misri tu Bali Africa na Dunia
Kweli ?, Kwenye gesi yenyewe inasemekana hatuna chetu hapo...mradi wa LNG usingesimamishwa na Magufuli sasa hivi Tanzania ingekuwa inafaidika kwa kuuza gesi kwa nchi zilizoiwekea vikwazo Urusi.