Bwege: Samia sio Mungu / baba mkwe wa Mchengerwa atalipwa pensheni / hajajenga barabarani kodi zetu

Bwege: Samia sio Mungu / baba mkwe wa Mchengerwa atalipwa pensheni / hajajenga barabarani kodi zetu

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869
15 February 2025
Ikwiriri, Rufiji
Tanzania

BWEGE : SAMIA SIO MUNGU / BABA MKWE WA MCHENGERWA ATALIPWA PENSHENI/ HAJAJENGA BARABARA
NI KODI ZETU


View: https://m.youtube.com/watch?v=XUXq98MwL5E

Kiongozi wa ACT Wazalendo mzee Selemani Saidi Ally Bungara almaarufu kwa jina, Bwege ametoa hotuba ya karne kwa wananchi wa Ikwiriri mkoa wa Pwani Tanzania

Maadui wetu ni maradhi, umasikini na ujinga.

Ujinga ni pamoja na kuichagua CCM, kwa kuwa imeshindwa kuleta maendeleo kwa kupiga vita umasikini na ujinga.

Bwege asema hatuhitaji kuisifia serikali kuwa imejenga shule, barabara n.k kwakuwa wenyewe viongozi wa serikali ya CCM walituomba tuwaajiri, sasa tangu lini mtu tuliyemuajiri tukamsifia wakati tunamlipa mshahara afanye kazi aliyoomba kwetu sisi matajiri wao ?

Mfano Mbunge wenu Mohamed Mchengerwa wa Rufiji mshahara na marupurupu:

12,500,000 kwa mwezi
360,000 posho ya siku Bungeni
Matibabu bure
.....
 
Mzee Bwege kawaje, mbona anatumia 'kisaidizi' kutembea, na anaongea amekaa?
 
Mzee Bwege kawaje, mbona anatumia 'kisaidizi' kutembea, na anaongea amekaa?
Mitihani ya Dunia tu, inaweza kumpata yeyote,

Hujafa hujaumbika bado, Tutendeane wema waja wa Mwenyezi Mungu, kesho yetu hatuijui
 
Back
Top Bottom