MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Tianjin Massacre hayakuwa mauaji ya wanachuo bali mauaji ya wamishionari wa Kikristu mwaka 1870.AHA NIPOKEE HOJA YA MIUNDOMBINU DEMOCRACY, JUDICIALLY, ELIMU etc
Hukohuko china Unakumbuka Tianjin Massacre wanafunzi walikuwa wanadai miundombinu democracy maana ilikuwa haipo.
Watu wanapotezwa Muundombinu amani haupo akiwemo PM aliyefia Kifungo cha ndani kisa tu anamawazo tofauti.
Hukohuko zingapole ilikuwa ni zaidi ya udikteta dunia nzima muundombinu Judicially ulikuwa mfukoni mwa Dicteta Lee Kuan yew lakini aliboresha miundombinu Elimu.
Tienanmen Square Massacre ndiyo yalikuwa mauaji ya wanachuo kudai mabadiliko mwaka 1989.
Umeona jinsi mnavyokaririshwa mambo ya ajabu ajabu ndugu yangu ???
NB: Haya unajua nini kilitokea Uchina baada ya yale mauaji ya Tienanmen ???