BYD wazindua magari yao maarufu matatu ya umeme (Dolphin, Seal na Atto 3) nchini Kenya

Polestar 2 nzuri ila $50,000 kabla TRA hawajaingilia kati 🤣🤣
IMG_0138.jpeg

Ukiandika $50,000 inaonekana ndogo. Ila tunaongelea Mil 140.
 
Ndio, haujakosea kusoma.

Officially kampuni maarufu duniani la kutengeneza magari ya umeme kutoka China, BYD wameingia Kenya. Sio kwa used car, bali officially kama sisi Tanzania wanavyoingia San LG.

Ni magari matatu top selling ta BYD kuanzia Seal ambayo ni sedan.

View attachment 3114185

Ya pili ni Atto 3 ambayo ni SUV.
View attachment 3114186
Na mwisho wapenzi wa Hatchback kuna hii Dolphin.

View attachment 3114187

Hii Dolphin itawavutia Wakenya wengi ukitegemea bei yake ya kuzinduliwa kuwa chini ya $10,000/= tu.

Kenya wanazidi kuuonesha ulimwengu kwamba wako serious na transformation ya kutoka magari ya kutumia mafuta kwenda kwenye magari ya umeme.

Kuna mtu alinilipua uko ananunua Model X.

View attachment 3114198

Wametoka kuingia Partnership na kampuni la Kichina la magari Cherry hivi karibuni.
View attachment 3114196
Pia, karibuni walizindua vituo vya kuchaji magari na kuongeza sheria kwamba kila commercial building lazima itenge 5% ya parking yake kwaajili ya spots za kuchajia magari ya umeme.

View attachment 3114195
Pia walizindua mabus ya umeme ya kwanza kua assembled nchini kwao na wanataka by 2027 mabasi yote local yawe ya EV.
View attachment 3114197
Na mwisho wameintroduce sheria ya kupunguza kodi ya magari ya hybrid na umeme na vile vile wameondoa ukomo wa umri wa magari ya umeme.

Ni muda sasa wa Tanzania na sisi kuwakaribisha investors kutoka China na sisi tupate 0 km za EV.

Pamoja.
Bei zipoje
 
Sisi ndio kwanza tunaporutubisha mahusiano na wazalishaji na wamiliki wa visima vya mafuta. Ndio kwanza tunajenga vituo vya mafuta mpaka mitaa ya makazi. Maendeleo ya EV ni ndoto. Kuna vijana wa DIT waliwahi kuunda gari ya umeme japo finishing yake haikuwa ya kuvutia, ilikuwa inaletwa kwenye maonyesho, kila mwaka na mawaziri wanakuja wanaikagua inarudi Dar kwa miaka 2 mfululizo. Serikali ingewapa mtaji vijana hao na kuwaongezea watalaam leo tungekuwa mbali. Kenya wametumia technology ya nje. Uganda wametumia zaidi vijana wa ndani. Tanzania hatuna hata wazo zaidi ya kupandishiana bei ya mafuta.
 
Back
Top Bottom