Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
EV nataka brand new. Nitachukua hata BYD zile sedan zao kali.View attachment 3114420
Ukiandika $50,000 inaonekana ndogo. Ila tunaongelea Mil 140.
Halafu bodaboda anagonga na kuvunja taa! 🤣🤣🤣pixel control linear lights, Which provide high-quality video output when working altogether.
Faced linear lighting
Mama anaupiga mwingi. Anatuletea Scania G7 marcopolo huku mbagalaMipoyoyo ya Tanzania ndiyo kwanza imeenda kuagiza mabasi ya gas, ambayo gharama zake. Za uendeshaji ni mara kumi ya mabasi ya umeme. Na umeme tunao wa kumwaga sasa hivi.
Gas pia ni yetu wenyewe siyo ya kuagiza nje na imefika mpaka kinyerezi.Mama anaupiga mwingi. Anatuletea Scania G7 marcopolo huku mbagala
Bei zipojeNdio, haujakosea kusoma.
Officially kampuni maarufu duniani la kutengeneza magari ya umeme kutoka China, BYD wameingia Kenya. Sio kwa used car, bali officially kama sisi Tanzania wanavyoingia San LG.
Ni magari matatu top selling ta BYD kuanzia Seal ambayo ni sedan.
View attachment 3114185
Ya pili ni Atto 3 ambayo ni SUV.
View attachment 3114186
Na mwisho wapenzi wa Hatchback kuna hii Dolphin.
View attachment 3114187
Hii Dolphin itawavutia Wakenya wengi ukitegemea bei yake ya kuzinduliwa kuwa chini ya $10,000/= tu.
Kenya wanazidi kuuonesha ulimwengu kwamba wako serious na transformation ya kutoka magari ya kutumia mafuta kwenda kwenye magari ya umeme.
Kuna mtu alinilipua uko ananunua Model X.
View attachment 3114198
Wametoka kuingia Partnership na kampuni la Kichina la magari Cherry hivi karibuni.
View attachment 3114196
Pia, karibuni walizindua vituo vya kuchaji magari na kuongeza sheria kwamba kila commercial building lazima itenge 5% ya parking yake kwaajili ya spots za kuchajia magari ya umeme.
View attachment 3114195
Pia walizindua mabus ya umeme ya kwanza kua assembled nchini kwao na wanataka by 2027 mabasi yote local yawe ya EV.
View attachment 3114197
Na mwisho wameintroduce sheria ya kupunguza kodi ya magari ya hybrid na umeme na vile vile wameondoa ukomo wa umri wa magari ya umeme.
Ni muda sasa wa Tanzania na sisi kuwakaribisha investors kutoka China na sisi tupate 0 km za EV.
Pamoja.
Hapana bado tunatumia mkaa.Gas pia nibyetu w
Gas pia ni yetu wenyewe siyo ya kuagiza nje na imefika mpaka kinyerezi.
Wewe huna gas?
= kubadilisha.Wewe sio mambo yako hayo. Utaweza endesha gari bila kubadirisha gear?
Basi anza kuunda gari za mkaa. Tunao mpaka mkaa wa mawe.Hapana bado tunatumia mkaa.
Basi anza kuunda gari za mkaa. Tunao mpaka mkaa wa mawe.
Tatizo nini?
Mipoyoyo ya Tanzania ndiyo kwanza imeenda kuagiza mabasi ya gas ambayo gharama za uendeshaji ni mara kumi ya mabasi ya umeme.
Na umeme tunao wa kumwaga sasa hivi.
Tunataka umeme gesi ni mipango ya wachache akina FebruaryMama anaupiga mwingi. Anatuletea Scania G7 marcopolo huku mbagala
SERIKALI yako imejipanga kwenye EV? Hadi Leo hatuna kituo cha kuchajia magari.EV nataka brand new. Nitachukua hata BYD zile sedan zao kali.
PureView zeiss
Nanunua na charging port naweka home.SERIKALI yako imejipanga kwenye EV? Hadi Leo hatuna kituo cha kuchajia magari.
Acha wakenya watuoneshe njia Kwanza
Sisi ndio kwanza tunaporutubisha mahusiano na wazalishaji na wamiliki wa visima vya mafuta. Ndio kwanza tunajenga vituo vya mafuta mpaka mitaa ya makazi. Maendeleo ya EV ni ndoto. Kuna vijana wa DIT waliwahi kuunda gari ya umeme japo finishing yake haikuwa ya kuvutia, ilikuwa inaletwa kwenye maonyesho, kila mwaka na mawaziri wanakuja wanaikagua inarudi Dar kwa miaka 2 mfululizo. Serikali ingewapa mtaji vijana hao na kuwaongezea watalaam leo tungekuwa mbali. Kenya wametumia technology ya nje. Uganda wametumia zaidi vijana wa ndani. Tanzania hatuna hata wazo zaidi ya kupandishiana bei ya mafuta.Ndio, haujakosea kusoma.